Mshikaji mmoja mwenye jina hilo amekamatwa kwa kubaka kuku na kuisababishia maumivu makali. Jamani hivi mademu wamekwisha. Huyu jamaa lazima apimwe akili.
Source TBC1: gazeti la jambo leo
his name tells all.
Wanasheria tusaidieni, sheria inasemaje kuhusu hili la mtu kubaka ndege/mnyama?
Siyo Musoma kweli hii. Jana nilikuwa Ofisi za Manispaa nikakuta kuku aliyebakwa kaletwa ili bwana mifugo athibitishe. Watu waliomchungulia wanadai kuku alikuwa kaharibiwa vibaya na mhutumiwa ni baba mwenye mke na watoto.
What a shame! Kuku anabakwa, watoto wataachwa?
Nadhani sasa mtanielewa ni kwa nini nilikuwa ninapinga utaratibu wa 'kuchinjiwa' wanyama. Unampa mtu achinje kwa ajili ya public, kabla hajachinja anafanya mambo hayo, nasema sitachinjiwa kuku wala mbuzi mimi, labda noah naweza kuruhusuYusuf Bakari abaka kuku
ni sawa na yule aliyeoa kibinyi cha miaka 6 ?
😛layball:Eti Kamsababishia kuku kupata maumivu makali..