Maneno mazito na mwenye macho na ayaone na mwenye masikio na ayasikie.Yussuf Manji, ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia popote ulipo.
Binafsi kama Muislam mwenzako nnachukuwa fursa hii kukukumbusha kuwa hakuna kitu bora kama kukiri na kukubali makosa yako na kuomba toba.
Toba nnayokushauri kuiomba hapa, si kwa serikali wala kwa watawala. Toba nnayokukukumbusha mimi kuiomba ni kwa Mola wako Muumba mbingu na ardhi.
Manji uliwakosea sana Waislam kipindi cha nyuma kiasi, kwa kutumia fedha zako kununulia viwanja vya wakf vya Waislam, na kuwa mkaidi kila uliposemeshwa kuhusu hilo.
Viwanja hivyo ambavyo historia inaonyesha kuwa vilikuwa vijengwe chuo kikuu cha kwanza Tanganyika (hilo halikufanyika lakini hilo ni simulizi jingine kabisa ambalo Alama Mohamed Said anaweza kulisimulia vizuri zaidi).
Ulifatwa na Waislam wakikuomba kuwa mkataba ulioingia na BAKWATA ni wa kidhalimu na haufai lakini kwa ukaidi wako hukuwasikiliza na uliwatoa njiani na kuendelea na mkataba wako.
Sakata la viwanja hivyo lilipelekea Waislam kufungwa, kupigwa na kujeruhiwa mpaka walipoona kuwa hawakuwezi kwa ajili ya kutumia fedha zako na nguvu ya baadhi ya waliokuwa BAKWATA, Waislam wakafikia maamuzi makali ya kuwa sasa wanakushtaki kwa Mwenyeezi Mungu.
Miaka imepita ukidhani kuwa shtaka hilo halina meno kwako, lakini leo tunashuhudia ukigeukwa kila upande.
Aibu ya kushikwa na kuwekwa ndani pekee si ndogo kwa mtu wa "caliber" yako. Licha ya kupimwa na kukutwa kuwa u mlevi wa madawa, tumeona sakata la Oysterbay likikutia hasara kubwa sana, tumeona wafanyakazi wako wakifungiwa kuingia kwenye ofisi zao, tunasikia akaunti zako zinafungiwa kila kukicha.
Kama hiyo haitoshi, tunasikia umepatwa na matatizo ya moyo. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur'an tukufu:
Qur'an 2:10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. Maelezo
Kwa yote hayo bado tu hujashtuka ni kwanini yakukute yote hayo? Nakusihi, zingine zote ni sababu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, Waislam wameitikiwa dua zao dhidi yako.
Yussuf Manji tunakutaka usiwe katika wale ambao:
Qur'an 2:7. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa. Maelezo
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni wingi wa kusamehe na hachoki kusamehe, tunakutaka uombe toba kwa mola wako, umtake radhi, uwatake radhi na Waislam na uwarudishie viwanja vyao na mali zao, tena usithubutu kuvirudisha kwa wale wale waliokuuzia, itakuwa haina maana kabisa. Virudishe kwenye taasisi za Kiislam zenye kumuogopa Mwenyezi Mungu au tumia viwanja hivyo hivyo kuanzisha Manji Islamic Trust Fund na uiendeshe mwenyewe kwa manufaa ya Waislam.
Fata nasaha hizo uone mambo yatavyokunyookea.
Jikumbushe:
Maimamu kumsomea Manji Ahla-badri
Mjue Sheikh Ponda Issa Ponda na Kundecha
Waislamu wataka jengo lao toka Quality Group | Bongo5.com
MKATAMBUGA: WAISLAMU WAMELOGWA NA NANI?
Manji hakuna wakukuokoa katika haya na hayatokwisha ukifanya dharau isipokuwa wewe mwenyewe, anza kwa kumrudia Allah na kumuomba toba.
Na Mwenyeezi Mungu ndiye ajuwae zaidi.
Muislamu mnafiki wa aina hii ya kwako FaizaFoxy, hafai hata kuikaribia kibla!Yussuf Manji, ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia popote ulipo.

Yussuf Manji, ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia popote ulipo.

Kama ulikua huna cha kuchangia si bora tu ungepita kimya hapa?Wewe na udini lazima utaishia motoni tu mnafiki mkubwa wewe
Ulifatwa -Ulifuatwa.
Shuleni Ulienda kusomea ujinga?
By the way, Manji hawezi kuomba toba Kwa dhambi ya kusingiziwa na magaidi.
la pili, Serikali hii inamwonea kila mtu mwenye dalili za kuipinga au kuonekana yupo upande wa upinzani.
Kwani Mbowe aliwakosea nini wakristo hadi akaporwa Bilicanas? Ishu ni kwamba, Dikteta yupo kazini. Na bora huyo manji unayeweza kumwona, Ben Saanane yupo wapi? Huwezi kuipinga hii serikali ukawa salama, hebu na wewe anzisha harakati dhidi ya serikali hii uone Kama utasalimika.
Hakika ndugu Faiza,umefikisha ujumbe na Allah ni shahidi. Waumini wa dhati ni wale ambao inapowafika misukosuko husema:Sisi ni wa Allah na hakika kwake tunarejea. Pamoja na nasaha hizo,tumuombee ndugu huyo na wengineo wote wanaopatwa na misukosuko, iwe kheri kwao hapa duniani na Akhera-AMIN
Samehe saba Mara sabini elfu. Badala ya kumsamehe wao wanamsomea albadir. I guess Manji siyo muislam ila ni hinduism
Punguza ubaguzi wa dini wewe ajuzaUngeliyajuwa hayo usingekuja kubwabwaja na kuhororoja humu bila mpango.