Yussuf Manji: Kingunge ni mnafiki, alilikata jina lake uchaguzi 2005!

Kingunge ni muasisi wa Chama Cha Mapinduzi, wewe kadi yako ni namba ngapi hadi uwe na uwezo wa kumnyoonshea kidole?

Nyie ndiye mnayemtangaza kuwa Edo ni fisadi, maana ishu ya Richmond anayotuhumiwa nayo, ameshaiweka clear na mwenye Richmond hata wewe unamjua! Yule alietutangazia alivyoenda USA alionana na wenye Richmond, aje atueleze ni kinanani alioonana nao?

Hiyo ni Richmond ni Richard Monduli
 
1. RICHMOND mwenyewe ni = https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/932504-tundu-lissu-richmond-ni-ya-rais-kikwete-21.html

2. Hata kama walitenda dhambi wakiwa huko, sasa wametubu na wamekuwa watu wapya! Yaani wamezaliwa upya!

3. Nani anauza na kuuwa tembo wetu kwa ajili ya pembe? Nani wameuza madini yetu na kuacha mashimo wazi? Ukishawajua, basi hao ndio wakuogopa maana wameuza kila kitu!

UNASEMA WAMETUBU WAMEKUWA WAPYA, WEWE NI MUNGU? NANI ANAKUABUDIA. MUNGU NDIYE ANAYEPOKEA TOBA ZA WATU NA AIDHA AZIKUBALI AU AZIKATAE.

MNAFIKI NAMUOGOPA KULIKO MWIZI, MAANA MWIZI NAJUA ATANIIBIA, LAKINI MNAFIKI ALIYOFICHA MOYONI HUYAJUI MZEE, HUWA WANAVAA NGOZI YA CHUI, WAKIZIFUA WANAKUWA WABAYA ZAIDI YA MWIZI, WAANGAMIZAJI KABISA

KUhusu JK kuhusika na RICHMOND bas waje na ushahidi, ni unafiki, kwa hiyo akiiba mtoto kwa kuwa mtoto anakaa kwa baba na mama basi baba na mama wanakuwa wezi!!?
Magufuli anakuja na mahakama, ili wahjukumiwe mafisadi ikiwemo hao walohamia huko KICHAKANI
 
Nashindwa kumuelewa Kingunge. Anasema mchakato wa kumtafuta mgombea ndani ya CCM haukufuata demokrasia na taratibu za chama. Je utaratibu wa kumpata mgombea ndani ya CHADEMA ulifuata demokrasia na taratibu za CHAMA? Demokrasia gani anayoihubiri huyu mzee
Ccm chama dola lazima kioneshe mfano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom