Aisee KIKWETE Tena wa kazi gani hana faida yoyote Tanzania ndo chanzo cha matatizo tunayopitia. Kuna tukio nilisikia huko msoga kama ni kweli ndo maana kakaa kimya.Kwamaana hakuna mwingine ni yeye aliyebakia, sasa anatuvusha vipi katika hali hii.
Katika kipindi hiki kigumu yuko wapi? Hasa ukizingatia umahili wake katika kutatua migogoro, mbalimbali ya kisiasa na kiutawala sehemu mbalimbali Duniani.
Nchi imeharibika ikiwa mikononi mwake hivyo ni wajibu wake kuwajibika... njoo uwajibike kiongozi.
NB. Hakuna mbinu ya kijasusi inayoweza kuponya hili jeraha, ni jeraha linalotonesheka milele hivyo adui atakuwa anatumia udhaifu huo kutudhoofisha katika mapambano... Ili kupona jeraha ni muhimu sana kama sio lazima kukiri na kusafisha serikali hasa wale wote wanaotajwa kwenye uvumi wa CCM mtandao ni wakuwaondoa wote bila kujali uvumi huo ni wakweli au sio wakweli.
Nafasi nzuri ya kufanya haya maamuzi ni kipindi hiki wakati wa kuridhiana... Tofauti na hapo Taifa linakua limeharibika rasmi.
+Positivity
Wap Huko, na amefanya nnNi muhimu sana, duniani Huko anatumika sana.
Dunia ipi na kafanya nini la maana. Mkapa mwenyewe kafa na vita ya kongo inaendelea hadi leoNi muhimu sana, duniani Huko anatumika sana.
TudodoseAisee KIKWETE Tena wa kazi gani hana faida yoyote Tanzania ndo chanzo cha matatizo tunayopitia. Kuna tukio nilisikia huko msoga kama ni kweli ndo maana kakaa kimya.
So hapa nyumbani ameshindwa kufanya hayo anayofanya nje?CV hii hapa
Yuko MarekaniKwamaana hakuna mwingine ni yeye aliyebakia, sasa anatuvusha vipi katika hali hii.
Katika kipindi hiki kigumu yuko wapi? Hasa ukizingatia umahili wake katika kutatua migogoro, mbalimbali ya kisiasa na kiutawala sehemu mbalimbali Duniani.
Nchi imeharibika ikiwa mikononi mwake hivyo ni wajibu wake kuwajibika... njoo uwajibike kiongozi.
NB. Hakuna mbinu ya kijasusi inayoweza kuponya hili jeraha, ni jeraha linalotonesheka milele hivyo adui atakuwa anatumia udhaifu huo kutudhoofisha katika mapambano... Ili kupona jeraha ni muhimu sana kama sio lazima kukiri na kusafisha serikali hasa wale wote wanaotajwa kwenye uvumi wa CCM mtandao ni wakuwaondoa wote bila kujali uvumi huo ni wakweli au sio wakweli.
Nafasi nzuri ya kufanya haya maamuzi ni kipindi hiki wakati wa kuridhiana... Tofauti na hapo Taifa linakua limeharibika rasmi.
+Positivity
sio suruhu ni suluhu na sio nguri ni nguliNdio tunamshirikisha katika haya maridhiano tupate suruhu kwa ugwiji wake, kama anavyofahamika huko wanamuita mwanadiplomasia nguri.