Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,904
- 1,363
Hela ya makinikia iko wapi?
Tulikua tunajiuliza jalalani hushinda machizi ilikuaje yeye akaokotwa huko
GoodHuyu bwana Palamaganda Aidan Kabudi alitamba Sana enzi za JPM, aliteuliwa kuongoza majadiliano na Barrick Gold, na alijitahidi kwa kiasi chake. Badae akawa waziri wa Sheria na Katiba na finally akawa Waziri wa Mambo ya nje.
Alijisifu Sana alivyokuwa waziri wa mambo ya nje, lakini wabobezi wanasema alihusika kwa kiasi kikubwa kuharibu diplomasia ya Tanzania. Now hana cheo chochote, na amepotea ata Bungeni hasikiki, haulizi maswali, ATA swali la nyongeza haulizi.
Yupo wapi huyu bwana
OberSilence is a best answer
Profesa aliondolewa cheo na Rais mwenye Masters ya open universiry.Katiba ya Tanzania inafurahisha sana.
Kiingereza hakikupendi achana nacho At CalvarySilence is a best answer
Hivi unajua maana ya uadilifu wewe? Prof Kabudi alimuunga mkono mhalifu jiwe bila woga. Alikuwa mpiga debe mkubwa wa ukandamizaji haki, uuaji na uporaji fedha za wafanyabiashara. Ni mzalendo huyu?Dau la Mnyonge haliendi Joshi, inasikitisha sana Wazalendo kudhihakiwa wakati walilitumikia Taifa kwa Uadilifu.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Analima nyanya na vitunguu Ilula
Nadhan utoto unakusumbua