King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 61,007
- 90,257
Labda atarudi tena bila tashwishwi alfu mbili na ishirini na kenda.
Profesa aliondolewa cheo na Rais mwenye Masters ya open universiry.Katiba ya Tanzania inafurahisha sana.

HaaaaKarudi jalalani alipotolewa na mwendazake Profesa mwongo kama Nini kwanza somo alilofundisha UDSM yeye na Bashiru waliosikiza wote wamekuwa wehu
Tapeli huyo mzee hana loloteHuyu bwana Palamaganda Aidan Kabudi alitamba Sana enzi za JPM, aliteuliwa kuongoza majadiliano na Barrick Gold, na alijitahidi kwa kiasi chake. Badae akawa waziri wa Sheria na Katiba na finally akawa Waziri wa Mambo ya nje.
Alijisifu Sana alivyokuwa waziri wa mambo ya nje, lakini wabobezi wanasema alihusika kwa kiasi kikubwa kuharibu diplomasia ya Tanzania. Now hana cheo chochote, na amepotea ata Bungeni hasikiki, haulizi maswali, ATA swali la nyongeza haulizi.
Yupo wapi huyu bwana
Mpaka sasa unamkubali?Nilikua namkubali sana
Kawaida yenu watoto wa huyu kudhihaki wakubwa.Huyu bwana Palamaganda Aidan Kabudi alitamba Sana enzi za JPM, aliteuliwa kuongoza majadiliano na Barrick Gold, na alijitahidi kwa kiasi chake. Badae akawa waziri wa Sheria na Katiba na finally akawa Waziri wa Mambo ya nje.
Alijisifu Sana alivyokuwa waziri wa mambo ya nje, lakini wabobezi wanasema alihusika kwa kiasi kikubwa kuharibu diplomasia ya Tanzania. Now hana cheo chochote, na amepotea ata Bungeni hasikiki, haulizi maswali, ATA swali la nyongeza haulizi.
Yupo wapi huyu bwana
Mpaka sasa unamkubali?
Nimemis kumsikia PiaMpaka sasa unamkubali?
Nilikua namkubali sana
Tapeli huyo mzee hana lolote
Matusi makubwa sana hayaUnaongelea Kabudi yule aliyekunywa ile dawa toka Madagascar?? yule si kapanda cheo yupo Ikulu na Mama anasimamia Mawaziri yeye na Lukuvi eti..,

Sister mbona una hasira sn?Kakutapeli nini wewe msimbe usiye na mbele wala nyuma, BOGA TU wewe
PoaNimemis kumsikia Pia
Nakumbuka sana ndio alijifanya tester wa dawa ya COVID ya MadagascarHuyu bwana Palamaganda Aidan Kabudi alitamba Sana enzi za JPM, aliteuliwa kuongoza majadiliano na Barrick Gold, na alijitahidi kwa kiasi chake. Badae akawa waziri wa Sheria na Katiba na finally akawa Waziri wa Mambo ya nje.
Alijisifu Sana alivyokuwa waziri wa mambo ya nje, lakini wabobezi wanasema alihusika kwa kiasi kikubwa kuharibu diplomasia ya Tanzania. Now hana cheo chochote, na amepotea ata Bungeni hasikiki, haulizi maswali, ATA swali la nyongeza haulizi.
Yupo wapi huyu bwana
Huyo akiwa kwenye siku zake ndiyo alivyoSister mbona una hasira sn?
Hamna kituNilikua namkubali sana