connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,775
- 3,842
Huyu mwamba alikua hanaga kifua,
1. Aliwaponda wawekezaji wazawa kuwa hawana mitaji ya kuwekeza kwenye gesi zaidi ya Biashara za juice, maandazi na sasa energy drinks.
2. Alitaka kutaja hadharan matokeo ya kidato cha 4 ya Mbunge Christopher Ole Sendeka [bila Spika MAKINDA kuingilia Leo hii yangekua mtandaoni].
Hongera Prof kwa kuwa muwazi