Yupo wapi Prof. Ludigo?

Yupo wapi Prof. Ludigo?

Kwa sasa yupo wapi?? Na anafanya nini maana kama katulia fulani hivi!!

Kwa sasa sijui yuko wapi. Baada ya kutoka Bongo Records alifanya kazi kwenye studio iliyoitwa Pasu kwa Pasu Records lakini haikudumu sana, akarudi tena kwa Majani baada ya hapo ndio akapotea mazima.
 
Jamani huyu mtu wasanii wakongwe kwenye game nasikia wanamtaja sana, mfano kina Joh Makini, RIP Ngwea. Kwa mwenye kujua huyu mtu alikua ni nani, anafanya nini, na kwa sasa yuko wapi naomba mnijuze wadau!

Bonge la prdz
 
Daaah! Umenenaa hapo OCG mselaa alikua kichwa kizurii katika uandishii ila kwa sasa sijui yuko wapii tenaa!
alikuwa nasoma udsm faculty of engineering enzi hizo ikiitwa FOE now COET,profesa mmoja aliingia class akamsimamisha akamuuliza swali ,alipoanza kujiuma uma tu akamwambia kijana hapa sio mbowe club akimaanisha billicanas ,akamwambia mwaka huu ukiumaliza mimi sio .........na kweli akadisco
 
alikuwa nasoma udsm faculty of engineering enzi hizo ikiitwa FOE now COET,profesa mmoja aliingia class akamsimamisha akamuuliza swali ,alipoanza kujiuma uma tu akamwambia kijana hapa sio mbowe club akimaanisha billicanas ,akamwambia mwaka huu ukiumaliza mimi sio .........na kweli akadisco

Doooh! Mkuu umeniachaa hoi! Eti hapa sio mboe club hatarii sanaa! Ilaa kipaji anacho sijui Kama atarudii tenaa
 
Doooh! Mkuu umeniachaa hoi! Eti hapa sio mboe club hatarii sanaa! Ilaa kipaji anacho sijui Kama atarudii tenaa
nasikia huko ameachana na muziki na umri wetu utakuwa umesogea hakosi miaka 35 kwa sasa
 
Ludigo ni producer mkali sana, bado ana ukaribu sana na Mkoloni na Dan msimamo, mara ya mwisho nilionana nae Korogwe kwenye msiba wa mzee mmoja pale mgombezi. Sasa yupo Dodoma anafanya biashara zake.
 
Nadhani Last time alikua the man behind the "Antivirus Project" ya Mapacha,sugu na wenzie...
 
Profesa Ludigo ni miongoni mwa watayarishaji wazuri wa muziki wa Hip Hop na Bongo Fleva hapa nchini Tanzania, kazi nyingi nyingi za wasanii mwishoni mwa miaka ya 90 zilikua na mikono yake!

Aliganya kazi na P-Funk Majani ndani ya Bongo Record na Master Jay katika studio za Mj Records.

Asilimia 70 ya wasanii waliowika miaka ya 1990's mpaka miaka ya 2005 walifanya nae kazi, ndio maana wanamkumbuka sana, kwani kwa kiasi kikubwa alichangia mafanikio yao.

umenikumbusha mbali sana prof ludigo alikuwa mtarishaji wa music enzi zile kuna fm record unamkuta mwika mwamba, mawingu unamkuta bony love, mj unamkuta master jay na ludigo bongo record unamkuta majani ebwana acha mikono ilikuwa balaa

enzi hizo p funk mungu mtu ukifanya kazi kwake umetoka, ukiwa ujui anakutimua na matusi juu

mika mwamba alikuwa mkombozi wa vijana wanaokataliwa na p funk jamaa hata kama unaimba huendi na midundo alijua pika midundo na ukaa kumbuka daz nundaz, kitu barua, mtoto wa geti kali yake inspeta halon bit kali

njoo mj kutana na mikono ya prof ludigo ni balaa sikia
hii leo ya east coast, sister sister ya Gk, babu kubwa ya 2000 planet, we bitoz ya jonh walker, mikasi ya gwea jamaa sijui yupo wapi kwa sasa
 
utandu

hii leo imetengenezwa na john mahundi
 
Prof. Ludigo alitayarisha nyimbo nyingi sana alikuwa kichwa xana mfano. Wagosi wa kaya, Mangwair,Gk,Joh makini. etc.
 
Ludigo yupo Luguruni Makondeko MBEZI YA KIMARA mtu wa tungi mbaya na kuwalaani wanamuziki kuwa hawamjali pamoja na kuwasaidia Sana kiufupi ana stress Sana.
 
Nadhani Last time alikua the man behind the "Antivirus Project" ya Mapacha,sugu na wenzie...
unajua nn mkuu mziki waxaxa mjanga matupu leo kexho aunaham nayo lakin zikipingwa aquelina ocg au akuna kulala by nature bac watu awalali kweli old is gud ivyo yan
 
Back
Top Bottom