Yupo wapi mwimbaji wa nyimbo za Injili Beatrice Muhone?

mie nahakika kilichombeba ni urembo wake ! hana kipaji cha kuimba wala kutunga ! mtu mwenye kipaji cha kuimba ni nkone na rose(sauti zao ukizisikia unajua hawa wana vipaji) !sijui nisemeje nielewek !abda niseme alikua anaimba flat saaaaaaaaanaaaa! thts y alianguka mara moja na nilijua tu ataanguka !

chukua cd za waimba acappela wa nyimbo za injili angalia wanavyoziimba utajua hawa wana kipaji na ufananishe na huyu beatrice ! mayb angeenda kujifua kwanzaz zaidi !
Sio kweli ulisemalo, mtu asiye na kipaji hawezi kufanya nyimbo kama 'Habari njema' na 'Ni Siku' hata kwa miujiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli ulisemalo, mtu asiye na kipaji hawezi kufanya nyimbo kama 'Habari njema' na 'Ni Siku' hata kwa miujiza

Sent using Jamii Forums mobile app

hahaaa ! duh ! mbn ziko flat sana hizo nyimbo mkuu ! bas wewe huelewi maana ya uimbaj ! nimeishi sana na watu wanaoimba acapela wamenifundisha vit vingi sana sana na jinsi ya kuimba !mwangalie beatrice anavyoimba mishipa na upumuaj wake utanielewa ! bahat nzuri najua kuimba ! note!
 
Tetesi miaka chache ilopita nilisikia mahali. Yule dada ni mrembo na anamume ndie aliemwezesha kwa kila kitu. Huyo mme nae pia ni mwimbaji.... Tajiri moja toka mererani palipo na machimbo ya tanzanite, alimpenda sana huyu mdada kwa jinsi anavoimba. Akafanya mikakati atakavompata kwa garama yoyote. Aliingia kwakupitia mdada alie rafiki wa karibu sana wa bite, alimpa hongo mil 2 ili amfanyie mpango anyooshe njia. Huyo dada alifanya km alivotumwa hadi akafanikiwa. Bite akamkubali huyo tajiri, na ndoa yake ikaingia mgogoro mkubwa sana, na jina lake kuchafuka hivyo hakuweza kurudia tena uimbaji....... Hii ni tetesi tu ya miaka chache ilopita, hivo halina uwazi zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app

Tetesi nilizonazo mimi ni kuwa Bite alivyoanza kupata umaarufu baada ya kutoa album yake ya kwanza, alikuwa anatoka na mtu mkubwa sana hapa bongo, baada ya kuanza kutoka na muheshimiwa huyo, bite akaanza nyodo na madharau, dharau zikafika mpaka home akasahau kama yeye ni mke wa mtu, ndoa yake ikaingia kwenye gogoro kubwa sana, lkn ana mume mpole na mvumilivu sana coz anajua alipotoka na Bite
 
Na ukweli katika hili
 
Mwe bite kutoka mwaya ya tumaini st James arusha ameimba nyimbo nyingi saana ila inaonekana kaacha kuumba kwaya
 
Habari za Jumapili wanandugu,

Niende kwenye swali hapo juu. Miaka ya nyuma ama takribani miaka kumi imepita sasa, alikuwepo msanii wa nyimbo za injili Beatrice Muhone.Alikuwa na nyimbo nzuri kweli ukiwepo mmoja uitwao Lango la Mbinguni.

Sijamsikia tena kwa muda mrefu katika uimbaji na uinjilishaji na sijapata tena taarifa yoyote kumuhusu mwanamama huyu. Kwenye matamasha ya pasaka pia nimekuwa nikitega sikio sikumsikia.

Mwenye kujua yupo wapi na anafanya nini na kwanini kaacha uimbaji wa nyimbo za Mungu atujuze.

Nawatakia Jumapili njema.
Nilikuwa nasikiliza wimbo wa Bwana Yesu uko wapi wa huyu dada nikakumbuka enzi hizo 2009-2010 nikiwa bado mwanafunzi wa mwaka wa kwanza boom limekata namkumbuka Bwana
 
Nilikuwa nasikiliza wimbo wa Bwana Yesu uko wapi wa huyu dada nikakumbuka enzi hizo 2009-2010 nikiwa bado mwanafunzi wa mwaka wa kwanza boom limekata namkumbuka Bwana
Aisee, matatizo yatujongelesha karibu na Bwana
 
Sipendi kuzungumzia maisha ya watu binafsi lakini ninalazimika pale ninapoona kuna kweli inapootoka.

1) Mume we Beatrice hakumsaidia Beatrice kuimba. Badala yake alikuwa kamtelekeza na watoto, na kuelekeza moyo wake kule alikokujua yeye. Baada ya kuhangaika sana, Beatrice alikutana ya Diana Mwakasege akamfanyia huduma. Baada ya hiyo huduma, Beatrice alitoa nyimbo ya kwanza wakiwa na Upendo Kirahiro. Baada ya kuona hivo, mume wake akarudisha majeshi na kidogo kukatokea sintofahamu kati ya Beatrice na Upendo. Hiyo ilikuwa ni kanda pekee ya nyimbo zilizotungwa. Zilizofuata ambazo aliimba bila Upendo, zote ni nyimbo za wengine ama za Kwenye vitabu na Tenzi ukiwemo huo wa Lango moja.

2). Habari ya madini, siijui. Siwezi kuisemea ila nilidhani mimi kwa kuwa hakuwa na kipaji cha kutunga nyimbo na aliachana na Upendo kabla hajatengamaa, pengine nyimbo za kuinga ama kitabuni hazikuweza kuwa nguzo ya kuendeleza uzalisaji. ILA JUU YA HILI SIJUI!.
Umeongea kwa ustaarabu sana bila kumsema mtu. Nadhani utakua mwimbaji wa Tumaini Shangilieni St. James Kaloleni Anglican Church Arusha alikotokea mtajwa kwenye mada
 
Habari za Jumapili wanandugu,

Niende kwenye swali hapo juu. Miaka ya nyuma ama takribani miaka kumi imepita sasa, alikuwepo msanii wa nyimbo za injili Beatrice Muhone.Alikuwa na nyimbo nzuri kweli ukiwepo mmoja uitwao Lango la Mbinguni.

Sijamsikia tena kwa muda mrefu katika uimbaji na uinjilishaji na sijapata tena taarifa yoyote kumuhusu mwanamama huyu. Kwenye matamasha ya pasaka pia nimekuwa nikitega sikio sikumsikia.

Mwenye kujua yupo wapi na anafanya nini na kwanini kaacha uimbaji wa nyimbo za Mungu atujuze.

Nawatakia Jumapili njema.
Picha tafadhari
 
Back
Top Bottom