Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

AHSANTE MUNGUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU.
kama ni kweli anaumwa.
 
chama kile mh hapana eti cha jenga nchi wapi kama mtu ameteteleka tuwange tunambizana sio kukanusha siku akishindwa kabisa ndio utasikia ooh alikuwa na tatizo kidogo tu.
 
Kuna mzee mmoja alikuwa akisema yeye ana uwezo wa kuleta dhahama kwa mtu yeyote mradi tu yule mtu amefanya dhulma ama uonevu.
Haya mambo inawezekana..Faru kazi wa bongeni,Hakimu mbabe wa kisutu,Mtulia...Hii inaweza kuwa dharura!
 
Mi najua hizi taarifa zingekuwa za uongo ccm wangeshaibuka na kukanusha huku na yeye akionekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…