Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,460
Salt nyingi kaenda kwa Sugar...
Nakuja pmLipo mbona ni wewe tu ndio haupo kule mzee wa jehanam😁😁😁
Yupo Arusha Dc ni mjamzito ni mchagga aliyesoma Kibosho Mlama SecMbona hamujamuulizia Antonnia ???
Sijamuona JF muda mrefu yani....mi napendaga uyo mdada kwenye iyo profile picture yake....wueeeeh!!! Mfungulieni uzi mnitag wakuu.
nataka nirudi napatajeLipo mbona ni wewe tu ndio haupo kule mzee wa jehanam![]()
Eh! Noma sana... nimekubali.Yupo Arusha Dc ni mjamzito ni mchagga aliyesoma Kibosho Mlama Sec
Unalipia kama mange app, ukilipa nakuunga nikupe control namba?nataka nirudi napataje
...Kaenda Royal Tour??Jamani huyu mtu kapotea ghafla mwenye taarifa zake mwana familia mwenzetu Jamani!
Mimi mbona siuliziwi kama nilikuwa nina mwaka toka niingie leo ndio nimeingia


Nadhani atakuwa ana ujauzito
Nampenda huyu dada "Evelyne Salt" jamani daah.
Aisee sijui niandike, au basi.....😃Mtakuja kulogwa kirahisi rahisi tu...shauri yako
nisamehe mkuu mi nampenda tuu sina mpango wa kula mzigo.Mtakuja kulogwa kirahisi rahisi tu...shauri yako



Tumejifungia hukuuuuuJamani huyu mtu kapotea ghafla mwenye taarifa zake mwana familia mwenzetu Jamani!
Kwanini hautaki kula mzigo 😔😔nisamehe mkuu mi nampenda tuu sina mpango wa kula mzigo.
Kama Bia yetuKauza simu nini...?😁😁😁
Aisee sijui niandike, au basi.....😃