financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,141
- 43,366
Nipo mkuu, ahsante kwa kujali , ni ubusy tu kiasi ila tuko pamoja
Nipo mkuu, ahsante kwa kujali , ni ubusy tu kiasi ila tuko pamoja
Daa uwe unaonekana basi hata siku moja moja..mnatupa stress fans wenuNipo mkuu, ahsante kwa kujali , ni ubusy tu kiasi ila tuko pamoja



Haya mkuu, tutakua tunafanya hivo, usipotee sana piaDaa uwe unaonekana basi hata siku moja moja..mnatupa stress fans wenu![]()
Mbona dizaini yupo Moro miksa ticha fulani hivi...😊😊😊😊Ni kawaida kwa watoto wakike wa Daslamu kupotea Ijumaa na kurejea J3! Kuna shughuli nyingi ndani ya siku hizi 2
Naomba conectionLipo mbona ni wewe tu ndio haupo kule mzee wa jehanam😁😁😁
Ni kwere chalyanguMbona dizaini yupo Moro miksa ticha fulani hivi...😊😊😊😊
Kwani ni aje mama! Ulifanikisha?We jamàa ni mbea
Limechapa lapa mazimaHivi jmn lile jukwaa letu ndo limeenda mazima au ni mimi tu?
Ehe,ikawaje?Mashangazi tunamfahamu ndoa yake tulirusha madolari ya kutosha
Sasa nini kimetokea, au alikuwa karani? siyo sababu.
Ikawaje, mmmh mmh mmm nitasema baadaeEhe,ikawaje?
Alinitosa hakutuma nauliKwani ni aje mama! Ulifanikisha?