Baada ya hapo hatujamsoma tena jukwaani.Hisa za migodi amenunua kwenye Stock exchange markets za Australia na London
Swali lingine
Hawa wanatuchora tu wapo kimkakati humuHao tumeshang'amua ni project. Ndo maana wapo humu mtandaoni usiku na mchana kama bots za AI
ni matumaini yangu huyo muungwana yupo anaendelea na mishe zake kama kawaida, na kama mTanzania mwingine yeyote yule nje ya JF. Na kwa vile alijiunga JF kwa uhuru na hiyari yake na kwa bando lake, nadhani pamoja na mabadiliko au sababu nyingine zozote zile za kikazi, kiuchumi au kimaisha, bado muungwana ana uhuru na hiyari ya kupumzika kutumia JF au kuacha kabisa na kuendelea na maisha mengine.Wakati joto la uchaguzi haramu 2025 limepamba moto, member mwenzetu johnthebaptist alianza kuonesha kupingana na upande aliokuwa anautetea (watawala) kupitia baadhi ya maandiko yake.
Leo nimekuwa tagged na member mmoja kunikumbusha mjadala wa kutoonekana kwa member mwenzetu JOHNTHEBAPTIST.
Sisi members wa JamiiForums ingawa hatufahamiani lakini tumejenga kujali uwepo wa kila mmoja wetu hapa jukwaani. Hata wale member wa hovyo hovyo kama Lucas Mwashambwa Tlaatlaah n.k. wanaotukuza mateso ya Watanzania huku wakiwasifu na kuwaabudu watesi wetu bado tunaamini wanastahiki kulindwa faragha zao na uwepo wao hapa ni haki muhimu pia
Post ya mwisho ya JOHNTHEBAPTIST ilikuwa ni tatehe 06 September 2025.
Baada ya hapo hatujamsoma tena jukwaani.
Wenye kufahamu lolote kumhusu mtujuze lakini tunamkaribisha jukwaani inavyowezekana tuendelee kumpiga gubu muuaji aliyeapishwa kiharamu
Watesi wako ni akili yako sio mmWakati joto la uchaguzi haramu 2025 limepamba moto, member mwenzetu johnthebaptist alianza kuonesha kupingana na upande aliokuwa anautetea (watawala) kupitia baadhi ya maandiko yake.
Leo nimekuwa tagged na member mmoja kunikumbusha mjadala wa kutoonekana kwa member mwenzetu JOHNTHEBAPTIST.
Sisi members wa JamiiForums ingawa hatufahamiani lakini tumejenga kujali uwepo wa kila mmoja wetu hapa jukwaani. Hata wale member wa hovyo hovyo kama Lucas Mwashambwa Tlaatlaah n.k. wanaotukuza mateso ya Watanzania huku wakiwasifu na kuwaabudu watesi wetu bado tunaamini wanastahiki kulindwa faragha zao na uwepo wao hapa ni haki muhimu pia
Post ya mwisho ya JOHNTHEBAPTIST ilikuwa ni tatehe 06 September 2025.
Baada ya hapo hatujamsoma tena jukwaani.
Wenye kufahamu lolote kumhusu mtujuze lakini tunamkaribisha jukwaani inavyowezekana tuendelee kumpiga gubu muuaji aliyeapishwa kiharamu
Bwashee toka wakati JF ipo korokoroni baada ya yale yaliyojiri siku na baada ya October 29, 2025 hajaibuka tena. Pengine naye aliguswa na yale mauaji ya kikatili na hivyo akapoteza matumaini yote aliyokuwa nayo kwa watawala.Wakati joto la uchaguzi haramu 2025 limepamba moto, member mwenzetu johnthebaptist alianza kuonesha kupingana na upande aliokuwa anautetea (watawala) kupitia baadhi ya maandiko yake.
Leo nimekuwa tagged na member mmoja kunikumbusha mjadala wa kutoonekana kwa member mwenzetu JOHNTHEBAPTIST.
Sisi members wa JamiiForums ingawa hatufahamiani lakini tumejenga kujali uwepo wa kila mmoja wetu hapa jukwaani. Hata wale member wa hovyo hovyo kama Lucas Mwashambwa Tlaatlaah n.k. wanaotukuza mateso ya Watanzania huku wakiwasifu na kuwaabudu watesi wetu bado tunaamini wanastahiki kulindwa faragha zao na uwepo wao hapa ni haki muhimu pia
Post ya mwisho ya JOHNTHEBAPTIST ilikuwa ni tatehe 06 September 2025.
Baada ya hapo hatujamsoma tena jukwaani.
Wenye kufahamu lolote kumhusu mtujuze lakini tunamkaribisha jukwaani inavyowezekana tuendelee kumpiga gubu muuaji aliyeapishwa kiharamu
ni matumaini yangu huyo muungwana yupo anaendelea na mishe zake kama kawaida, na kama mTanzania mwingine yeyote yule nje ya JF. Na kwa vile alijiunga JF kwa uhuru na hiyari yake na kwa bando lake, nadhani pamoja na sababu nyingine zozote zile za kikazi, kiuchumi au kimaisha, bado muungwana ana uhuru na hiyari ya kupumzika kutumia JF au kuacha kabisa na kuendelea na maisha mengine.
hakuna haja ya kua na negative perceptions juu yake, wala kujenga narratives au theories za kujaribu kuatract public sympathy isiyo na maana yoyote jukwaani. Lakini pia, ni muhimu sana kuepuka kuwachafua na kupotosha wadau wa JF dhdi ya membaers wengine muhimu na wa heshima sana JF, hasa wasiojua wala kuhusika na chochote kuhusu mdau alietajwa kutokuonekana jukwaani kitambo.
Kama waTanzania ni muhimu kupendana kama jamii moja, na kukubaliana kutofautiana kwa amani na itapendeza zaidi.
Otherwise,
nashauri kuishi na watu vizur nadani na nje ya JF