Yupo wapi Makongoro Nyerere kada wa CCM?

Huu uzi Andrew kauteka kila anachoandika kinageuka hoja...
 
Nitamtafuta Makongoro baadae aje kujibu. Lakini leo Jumamosi sidhani kama atakuwa sober.
Hivi wewe Andrew, Mako ni kaka yako au mtani wako? Hudhani kama atakuwa sober kivipi?
Ngoja nijipitie zangu waswahili wa Pemba hujuana kwa vilemba. Nadhani wanajuana hao.
 
Andrew Nyerere huwa ananivunja mbavu sana na michango yake. Kwake, black anaita black. White anaita white. Hababaishi wala kumung'unya maneno. Bravo Uncle Andrew!!!!
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Makongoro yupo hapa Msasani. Nimemuona sasa hivi anaelekea kwake ,unajua hii ni family compound,kwa hiyo yupo kule kwake,na kama ulivyosema hapendi kulala peke yake,naona yupo malaika mlinzi anafuata nyuma.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] malaika mlinzi
 

Kuna Wahuni walitumwa Zanzibar kwenda kumtapeli Jaji Augustine Ramadhani kuwa Mzee kasema kachukue form kwa kuwa hii itakuwa zamu ya Zanzibar na Mkristo.Lengo hasa lilikuwa kuivuruga kambi ya Lowassa isijue nani hasa kaandaliwa na system na kweli wakachanganyikiwa wasijue nani wamdhibiti wakabaki wanakufa na Membe. Nchi hii haitopata Check bob kama huyu Mkwere, Nguvu kiasi ujanja ujanja mwingi
 
Ina maana mpaka leo huja
Gundua kuwa Nyerere wote wana good sense of humor. Hapo nyie mlio zoea mtukio ndo mta tafsiri vingine. Ila me I see typical nyerere in those words.
 
Kwa hiyo magufuli kawekwa Na system? Acha uongo wewe

Wale Wezi wa Mtandao wa Lowassa waliokusanywa na Bashir Awale walisambaratishwa na nani? Wee unadhan kitu gani kilifanywa kuzuia Wafia Lowassa ndan ya CCM wasihame kumfuata?Wale wabunge 80 na Wenyeviti wa mikoa 30 unajua kilichowafanya wabadili mawazo kumfuata Lowassa? Achana na kitu kinaitwa System. Mbowe haamini kama kabaki kuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni alikuwa yeye ndio Majaliwa wa Awamu ya tano chini ya Lowassa
 
Makongoro yupo hapa Msasani. Nimemuona sasa hivi anaelekea kwake ,unajua hii ni family compound,kwa hiyo yupo kule kwake,na kama ulivyosema hapendi kulala peke yake,naona yupo malaika mlinzi anafuata nyuma.
Hahaa endrew buana.... olagamba kisubhe....
 
sasa mkuu!! kama Magu hakuwekwa na 'system'ilikuwaje JK kaingia na list ya majina yake matano likiwemo la Magufuli?hii imekaaje
Chaguo la mkwere fisadi ilikuwa ni Membe au February.... Wengine ilikuwa kumpoteza mbwa njia tu

Mkapa ndie aliyelazimisha Magufuli awepo kwenye tano bora
 
Subiri Magu apewe uenyekiti ndo utaona anapewa cheo chamani
 
Miaka ya nyuma pale wizara ya mambo ya ndani ulikuwa ukikatiza barabarani unaona jengo moja lenye rangi nyekundu. Kwa habari nyeti za wakati ule, mle ndani ya hiyo nyumba ndipo kulikuwa na chumba chenyewe cha mateso, watu wa kazi ndio walikuwa wanawaminya wale wenye siri ili ziweze kuanikwa hadharani. System imefanya kazi nzito sana kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka jana. Jamaa wanastahili mkono wa pongezi.
 
Makongoro yupo hapa Msasani. Nimemuona sasa hivi anaelekea kwake ,unajua hii ni family compound,kwa hiyo yupo kule kwake,na kama ulivyosema hapendi kulala peke yake,naona yupo malaika mlinzi anafuata nyuma.
Malaika mlinzi, ok
 
Makaburi ya ukoo wa hayati Baba wa Taifa...Mwl J K Nyerere yako Butiama na mizimu na mitambo ni huko huko.
 
naona hapa hapanifai, ngoja niende zangu kwa MAKAPUKU FORUM wenzangu
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…