mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,253
Makongoro anadai kadhulumiwa na Kikwete kwenye kupitisha majina. Anasema wagombea watano waliochaguliwa ni 1. Augustine Mahiga 2. Augustine Ramadhani 3. Makongoro Nyerere 4. Mizengo Pinda na 5. Asha Rose Migiro. Lakini Kikwete akaja na listi yake ya mfukoni na kuwaacha solemba. cc. Andrew NyerereNimeshtushwa Na ukimya wa Kada maarufu wa CCM aliyeipigania CCM Kwa nguvu zake zote mpaka akadiriki kukufuru Kwa kuwabeza Na kuwatukana matusi wanasiasi wenzake akiwemo Mzee Steven Wassira aliyeshindwa ubunge Na Binti Ulaya kama haitoshi akamtukana Kamanda Mzee Lowassa.Tunaomba ajitokeze huko mafichoni azungumzie hata haya MAJIPU yanayotumbuliwa au kachukia ule mchujo wa kumpata mgombea wa CCM ulioendeshwa Kule Dodoma?
Kumbe angeshinda tungekuwa na rais ambae hajawah kuwa sober[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nitamtafuta Makongoro haadae aje kujibu. Lakini leo jumamosi sidhani kama atakuwa sober.
Kumbe angeshinda tungekuwa na rais ambae hajawah kuwa sober[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Teh teh..Aje kujibu akiwa tungi..Ndo itakuwa poa zaidiNitamtafuta Makongoro baadae aje kujibu. Lakini leo Jumamosi sidhani kama atakuwa sober.
Nitamtafuta Makongoro baadae aje kujibu. Lakini leo Jumamosi sidhani kama atakuwa sober.
Hahahahaha watoto wa mwalimu majanga matupu... Huyu bwana angekuwa ndie Rais sijui ingekuwajeNitamtafuta Makongoro baadae aje kujibu. Lakini leo Jumamosi sidhani kama atakuwa sober.
Hii ID nadhani ni fake au inaingiliwa,sina hakika kama Andrew,the jet fighter pilot kuandika hivi dhidi ya nduguye,lazima kuna jambo....ila naskia Serikalia hii haiwataki Nyerere 's kwa kuogopa kkufunikwa na kukosolewa hadharani ndo maana woote wamepigwa kimya na ni ka mkakati...japo sina hakika ila Kwa kuwa Mokongoro nae hupitagga humu atatuambia kama ni kweli au ni blah blah
Alifikiri siasa ni porojo za kitotokitoto, kasigezwa pembeni!Nimeshtushwa Na ukimya wa Kada maarufu wa CCM aliyeipigania CCM Kwa nguvu zake zote mpaka akadiriki kukufuru Kwa kuwabeza Na kuwatukana matusi wanasiasi wenzake akiwemo Mzee Steven Wassira aliyeshindwa ubunge Na Binti Bulaya kama haitoshi akamtukana Kamanda Mzee Lowassa.
Tunaomba ajitokeze huko mafichoni azungumzie hata haya MAJIPU yanayotumbuliwa au kachukia ule mchujo wa kumpata mgombea wa CCM ulioendeshwa Kule Dodoma?