Yupo wapi kada maarufu wa CCM Nicodemus Banduka

Historia inaonyesha kuwa ukishndana na prof. Maghembe, akikushnda unapotea.
Alishindana na Maghembe 2000 kugombea ubunge wilaya ya Mwanga.

Eeh kwani Prof Maghembe ana nini?
Ameshapoteza watu wangapi?
 
alipotwezwa na jk huyu! Jamaa ilikuwa hakum support jk huyu! Alikuwa kambi ya sumaye! Alijaribu kushawishi baadhi ya wakuu wa wilaya, kafa nao wote baada ya uchaguzi!
Kuna siku nilikutana nae pale NSSF, inaonekana alikuwa anafuatilia Pension ya kustaafu

Alipotezwa vibaya wakati yuko mkoani Lindi.
Kwa hivi sasa anaendesha kampuni ya ukandarasi wa barabara!
 
Nicodemus Manase Banduka Mkwizu. Kaka yao mkubwa alikuwa balozi Ambassador Mkwizu, maarufu enzi za Mwalimu. Kaka yake mwingine Martin Mkwizu alikuwa headmaster, na waliwahi kugombea cheo kimoja, kinyume kabisa na maelekezo ya wazee wa ukoo, lakini mdogo (Banduka) ndiye aliyeshinda. 'Selfish' is an insufficient word in describing him, hata nyumbani kwao hawampendi.
 
alipotwezwa na jk huyu! Jamaa ilikuwa hakum support jk huyu! Alikuwa kambi ya sumaye! Alijaribu kushawishi baadhi ya wakuu wa wilaya, kafa nao wote baada ya uchaguzi!
Kuna siku nilikutana nae pale NSSF, inaonekana alikuwa anafuatilia Pension ya kustaafu
Huyu alikua ni ccm mhafidhina. Magamba ni hodari wa kufuata upepo na wengi walifaulu kubadilisha kambi dakika za mwisho na kuambulia chochote kwa jk.
 
Hilo la kuhusu huyu mwanadamu kuchukiwa na ndugu zake ni kweli. Mimi nafahamiana na baadhi ya ndugu zake na wanasema jamaa ni mchonganishi na mbabe na ubabe wake ni ule usio na msingi, ubabe wa kitoto. Mtu mwenyewe kafulia. Na hii ndio ilisababisha akakosa ubunge kule kwao.
 
Kifupi ni kuwa huyu kiumbe ana roho mbaya sana.
Wanaomfahamu wanamjua zaidi
 
Ni mtu ambaye historia inamhukumu !
Si ndugu wala jamaa, hakuna ambaye amewahi kutendewa jema na huyu kiumbe.
Ni mtu ambaye aliangalia zaidi tumbo lake kuliko utu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom