Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Mhh unaamini waandishi wetu wa habari. Marehemu Apson alifariki akiwa matibabu Afrika ya Kusini, na mwili wake uliporudi haukuja mbezi beach.Nimeamini JF Kuna watu waongo wanatulisha matango pori, Yule Mzee umauti umemkuta nyumbani kwake Mbezi Beach daraja la Apson na nyumba ya Masaki alikua ni jirani yangu aliishi kidogo sana na aliuza long time akaenda mbezi beach Mpaka mauti yanamkuta
Mwandosya na Apson wapi na wapi
TANZIA - Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini
Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Apson Mwang’onda (75), amefariki dunia leo Oktoba 7, nchini Afrika Kusini alikokuwa anatibiwa, familia yake imethibitisha. Rais Magufuli akimjulia hali Apson Mwang'onda hospitalini enzi za uhai wakewww.jamiiforums.com
View attachment 2087223
Au mnaongelea watu wawili tofauti wenye majina ya kufanana?Wewe kiboko aisee, kwataarifa zisiso sahihi , haya labda nikuulize ulikuwepo kwenye msiba na kama ulikuwepo ulifanyikia wapi na mtaa gani na je mazishi yalikuwa wapi? ,kwangu nacho jua nilikuwepo kwenye msiba , ulifayika Mbezi Beach , sasa sijui wewe ulienda au ulisikia msiba upi wa marehemu ambao haukufanyika Mbezi Beach .
Wewe kama uli soma Shaban Robert na kumaliza mwaka 1991 , ngoja nikutajie watu ulio soma nao hapo Shaban Robert na ni kueleze kwanini Huyo Mkuu wa Wlaya hakusoma hapo ila alisoma Forodhani Sec Schoo nakumaliza mwaka 1989 .hawa ni walio maliza mwaka 1991 utawakumbuka vizuri .
Walio maliza mwaka 1991
Grace Mtui ,
Mona Lupembe,
Edith Kusaga ,
Jamillah ,
Amina Msomali
Rummy Minja
Walio Maliza mwaka 1990
Said Janguo .
Robert Byabato
Walio maliza 1989
Fanuel Ligate
Franco Mtui
Kama nilivyo kuambia Mkuu wa wilaya alimaliza mwaka 1989 Forodhani Sec school na walio maliza nao baadhi ni
Evans Mrutu
Denis Ishengoma
Wako wengine wengi katikashule nilizo taja , ila sikumbuki kwa dakika hii ila ninawafahamu na nilitaka tuu nikuonyesha kwamba na fahamu ninacho kisema sababu hata miaka ya watu mlio soma wote naifanya na nawafahamu baadhi ya classmates wako , nilitaka tuu nikufahamishe kwamba taarifa ulizo nazo sio sahihi kabisa .
Wewe kiboko aisee, kwataarifa zisiso sahihi , haya labda nikuulize ulikuwepo kwenye msiba na kama ulikuwepo ulifanyikia wapi na mtaa gani na je mazishi yalikuwa wapi? ,kwangu nacho jua nilikuwepo kwenye msiba , ulifayika Mbezi Beach , sasa sijui wewe ulienda au ulisikia msiba upi wa marehemu ambao haukufanyika Mbezi Beach .
Wewe kama uli soma Shaban Robert na kumaliza mwaka 1991 , ngoja nikutajie watu ulio soma nao hapo Shaban Robert na ni kueleze kwanini Huyo Mkuu wa Wlaya hakusoma hapo ila alisoma Forodhani Sec Schoo nakumaliza mwaka 1989 .hawa ni walio maliza mwaka 1991 utawakumbuka vizuri .
Walio maliza mwaka 1991
Grace Mtui ,
Mona Lupembe,
Edith Kusaga ,
Jamillah ,
Amina Msomali
Rummy Minja
Walio Maliza mwaka 1990
Said Janguo .
Robert Byabato
Walio maliza 1989
Fanuel Ligate
Franco Mtui
Kama nilivyo kuambia Mkuu wa wilaya alimaliza mwaka 1989 Forodhani Sec school na walio maliza nao baadhi ni
Evans Mrutu
Denis Ishengoma
Wako wengine wengi katikashule nilizo taja , ila sikumbuki kwa dakika hii ila ninawafahamu na nilitaka tuu nikuonyesha kwamba na fahamu ninacho kisema sababu hata miaka ya watu mlio soma wote naifanya na nawafahamu baadhi ya classmates wako , nilitaka tuu nikufahamishe kwamba taarifa ulizo nazo sio sahihi kabisa .
Sorry kama ni wewe mmoja wapo nime kutaja, ila hao nilio wataja sidhani kama wana jali sana privacy kwa namna ya hali ya juu.Na wewe jina lako halisi ni lipi kwa maana wengine umewataja bila ya idhini yao!
Kwa maelezo yake ni anaongelea huyo huyo tunae muongelea , ila nadhani kidogo yuko delusional , ana imagine vitu ambavyo havipo, sababu kama ni msiba ni public na watu wengi walikuwepo ni ajabu sana kwa mtu anaye sema ni jirani halafu aseme msiba haukua jirani na kwao , wakati msiba umekaa hapo kwa siku 5 hapo Mbezi Beach , kuazia Jumatatu mpaka Ijumaa ndio wakasafirisha , sasa inawezekanaje , siku 5 zote jirani ya Marehemu asijue jirani yao kuna msiba na huyo jirani gani ambaye hakwenda kwenye msiba wa jirani yake ambaye tena ni wale majirani wa Kongwe eneo hilo? bado na shangaa .Au mnaongelea watu wawili tofauti wenye majina ya kufanana?
Labda huyu ni Daudi mwenyewe , halafu anapo sema hilo suala la kununua maziwa sio kweli ,hata hapo nyumbani kwa Marehemu kulikua na ngo'mbe kwa nyuma tena wa maziwa, pili , watu wa idara , maziwa walikuwa wana toa PSU enzi hizo kulifugwa ng'ombe, maelezo yake mengi hayako sahihi.Hivi huyu Tom ndiye alikuwa mmewe yule Mbunge wa viti maalum Neema Rugangila?
Hapana Mbunge Neema mumewe anaitwa James alias Jimmy
Ndg Phillip kwa maelezo inaonekana ni jirani sana na marehemu Mzee Cornel lakini kuna taarifa unazichanganya aidha kwa makusudi au kutokujua.
Msiba ulikuwepo Mbezibeach na ilikuwa ukipita unawaona wale makirikiri wamevaa combat na wale wazee wa suti wanasaidia kuelekeza pa kupark magari. Ule ndio mji wa mzee ni lazima msiba ufanyike pale.
Kuna mahali unaelezea Jimmy alikuwa anakuja kununua maziwa kwenu zile nyumba zilizokuwa za Air Tanzania kama unaelekea kwa Barongo mbezini 306 pub halafu unasema nyumba yenu ilikuwa opposite na msikiti nyumba ambayo inatazamana na iliwahi kuwapo baa ya Lukas mtoto wa mama daudi wa masaki kwa kipindi kifupi na kiwanja kile ni cha Lukas mpaka sasa.
All in all REST IN PEACE SPYMASTER APSON.
Wewe una pata faida gani kwa kusema uongoMsiba haukuwa hapa Mbezi Beach kwa taarifa yako baada ya Kikwete kuingia Ikulu Mzee Apson akahamishiwa huko Oysterbay na hii nyumba yake ya hapa Mbezi beach ikabomolewa yote na ikajengwa upya.
Wakati anafariki nyumba hii ilikuwa bado haijamalizika kujengwa upya. Humjui Apson lakini umejitutumua uonekane unamjua. Mtoto wa marehemu ambaye kwa sasa ni mkuu wa wilaya moja huko kaskazini alisoma Shaban Robert na alimaliza form four mwaka 1990 mimi nilimaliza mwaka 1991 hapo hapo Shuleni.
Mdogo wa huyo mkuu wa wilaya anaishi hapa mbezi beach mpaka leo hii, na ndio alikuwa akinunua maziwa nyumbani kwetu, kama unaifahamu vyema mbezi beach ni huu mtaa ukitoka darajani ambapo ni maarufu kwa apson ukiwa unaelekea maghorofa ya BOT kushoto kwako ni mtaa wa pili, ukishamaliza ilipo saloon mpya kile kiwanja cha marehemu Otata unakunja kushoto mbele ya mafundi ya bajaji na bodaboda.
Nyumba ipo upande wa kulia mbele kidogo ya kibanda wanachoonyesha mipira ya ligi kuu ya TZ.
Kuanzia leo nitakuwa siamini kila ninacho kisoma, mtandaoni sababu kuna watu huwa wana weza aminisha watu habari zisizo sahihi kabisa , ni kuulize , ulikuwepo msibani , ibada ili fanyika wapi na je alizikwa wapi ? , kwa kweli unanifurahisha kwa jinsi ulivyo na taarifa zisizo sahihi .
Labda nikusaidie kwa mara nyingine, kwa maana ya kwamba kama ulikuwepo msibani na wewe ni jirani yao umeshindwa vipi kujua msiba ulikuwa pale mbezi Beach ?
Pili mwanae aliye mkuu wa Wilaya nadhani ni Moshi au Arusha sina uhakika ni wilaya ipi , inakuaje amalize form four 1990 wakati ni mkubwa kushinda mimi ambaye nime maliza for four 1990 , tena unavyo nishangaza nime soma naye primary school na alikuwa darasa la juu yangu ? tena nafahamu secondary alisoma shule ya serikali na sio Private .
Hauna taarifa sahihi , ila unijibu tu ulikuwepo msibani na kama ulikuwepo na haikuwa ni Mbezi Beach je, ulikuwa wapi na mtaa gani ?
Nani kakudanganya nyumba ya Mbezi ilijengwa wakati wa msiba ? Nyumba ya Mbezi ilijengwa Zamani sana wakati amestaafu na sio kujengwa ilifanywa renovation ilivyokamalika akatoka nyumba ya Oysterbay karibu kabisa na rafiki yake mkubwa Rostam Aziz akaamia mbeziMzee kama unanibishia kuwa Tom Apson hakumaliza Shaban Robert 1990 naona kama tunapotezeana muda tu. Mimi nilimaliza pale pale 1991, ninao uhakika na ninachokuambia.
Naona kama tunapotezeana muda tu. Msiba haukuwa mbezi beach wakati huo nyumba ilikuwa imeshabomolewa na inajengwa upya.
Sio vizuri kujitaja humu kwa majina, ila Hayati Mzee Apson ni jirani yetu wa kwanza kwanza Mbezi Beach baada ya mzee wangu kuhamia mwaka 1995 June.
Nyumbani kwetu kwa zamani ambapo Mzee aliishi kabla ya kusogea mbele zaidi, ni pale ukitoka kwa RIP Apson kama unasogea kwenda BOT ukishafika ulipokuwepo msikiti ambao umeshaondolewa nyumba yetu inatazamana na hapo.
Opposite ya msikiti ndio wamejenga Bar moja inaitwa Toprank Grill ni mpya bado.
Mhh unaamini waandishi wetu wa habari. Marehemu Apson alifariki akiwa matibabu Afrika ya Kusini, na mwili wake uliporudi haukuja mbezi beach.
Kipindi hicho nyumba yake ilikuwa imeshabomolewa na ujenzi mpya unaendelea. Nyumba yake ya sasa anayoishi Mama mjane ni mpya sio ile aliyokuwa akiishi siku za nyuma.
Ni Jimmy, Neema alikimbia nyumba kwa sababu ya kudanga uzeeni kapoteza mume wa Maana na baba bora wa watoto wake mwenye adabu zote hasie na makuu wala majigambo kama Mzee ApsonHivi huyu Tom ndiye alikuwa mmewe yule Mbunge wa viti maalum Neema Rugangila?
Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
Hii ni kama zile habari unapewa na unaambiwa ni toka kwa mtu wa karibu, kama wakaribu wenyewe ndio hawa basi kazi ipo, sababu anaongea kwa kujiamini abisa wakati hakuna usahihi wowote kwa anacho kiongea , ingekua ni suala la kashfa sijui ingekua ime mchafua mtu kwa kiasi gani sababu wengi wange amini sababu mtoa habari kajiaminisha kwa watu kwamba ni mtu wa karibu .Huyo jamaa Philipo muongo sana anafanya tuamini baadhi ya watu uwa wanatunga story
Sio kweli mkuu.Waaandishi wa Habari wanausika vipi na nilienda msibani siku zote pale mbezi daraja la Apson kwenye nyumba yake ya maisha yote kabla ya mwili haujafika Tanzania adi umefika Tanzania Kutoka Southa Africa kwa taarifa yako Mpaka viwawa Mbeya nilienda kumzika Mzee wetu
Muacheni Mzee wetu kipenzi mtu wa watu hasiekua na majivuno apumzike kwa Amani
Apson ni jirani yangu hapa mbezi beach kwa taarifa yako. Kiwanja changu ni hiki ambacho mpaka mwaka jana palikuwa na car wash wanaosha magari.Huyo jamaa Philipo muongo sana anafanya tuamini baadhi ya watu uwa wanatunga story
Apson hawezi kuwa jirani yako kwa vile alikwishakufa mwaka 2019Apson ni jirani yangu hapa mbezi beach kwa taarifa yako. Kiwanja changu ni hiki ambacho mpaka mwaka jana palikuwa na car wash wanaosha magari.
Kama vipi mkuu uuze nikuletee mteja anafungua baa.Apson ni jirani yangu hapa mbezi beach kwa taarifa yako. Kiwanja changu ni hiki ambacho mpaka mwaka jana palikuwa na car wash wanaosha magari.
Nimemuondoa yule mpangaji sasa natafuta mpangaji mwingine. Mbezi Beach mzee alikuja mwaka 1978 alinunua eneo hili kutoka kwa mkulima fulani.