Yupo wapi Deogratias Kisandu

Yupo wapi Deogratias Kisandu

Alishamaliza, kifungo alipotoka alibadili majina, mara ya mwisho alipanda basi kwenda dar ambako alikuwa anashinda studio akiandaa albam yake
Yes
Alielezea hiyo safar yake na gari kuharibikia manyoni singida,kusahau mkoba wake kwny gari na kondakta wa hilo gari kumtafuta don na kumkabithi mkoba wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom