NakaziaUkishapiga hela unatakiwa ule kimyakimya. Ni vizuri kupotea kimtindo.
ππDahSema nini..
Yule Askofu injili zake za miaka ya nyuma (nyingi nilikua naziskia kwenye radio cassette ya Mshua) zilikua ni balaa,,
Yaani anakemea hadi unasema naacha dhambiπ¬π¬
Ni balaa.. Yani nadhani kipindi cha kina Paul na Petro Mitume ndo walikua wanahubiri ile dizainπ..ππDah
Kashapiga pesa za misukuleKakobe kwa sasa yupo zake ametulia kwenye hekalu lake pale Mbezi beach huku akila kuku kwa mrija kwa pesa kutoka kwenye kanisa lake pale Mwenge.
Unenikumbusha mbali sana mamaaSema nini..
Yule Askofu injili zake za miaka ya nyuma (nyingi nilikua naziskia kwenye radio cassette ya Mshua) zilikua ni balaa,,
Yaani anakemea hadi unasema naacha dhambi[emoji51][emoji51]
Kabisa. Amejenga hekalu moja matata Kawe Beach anakula sadaka za kondoo wa bwana kwa raha.Ukishapiga hela unatakiwa ule kimyakimya. Ni vizuri kupotea kimtindo.
Alishapata hela za kutosha toka kwa waumin wake wasiojitambua, sasa anaishi kwa raha zake mwenyewe akisomesha wanawe kwa hela alizokuwa anapewa na mazezeta wake.Habari zenu nyote!
Kama kichwa cha habari kilivyouliza, Naendelea kuuliza yuko Baba yetu, Jasiri aliyekemea dhambi bila kificho na kujitengenezea maadui wengi kwa kuupigania Ukristo na utakatifu???
Mara ya mwisho alionekana akiwa na mpendwa wetu aliyetutoka late rais magufuri. Baada ya hapo hajaonekana tena.
Injili ya kanisa imepoa sana, despite kuwa na wingi wa matukio lakini ukimya wake ni pigo kubwa kwa injili Tanzania na duniani kote.
Mimi si muumini wake, lakini injili yake nimekuwa naiishi na imenileta karibu zaidi na Mungu kwa miaka mingi sana...
Tafadhari KWA WEMA kabisa, Tujuzane alipo Askofu wetu huyu.
Ahsante.