Yupo wapi Askofu Zacharia Kakobe? Hajaonekana tangu Desemba 2021

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,753
Umofia kwenu.

Wakuu, hivi yupo wapi Askofu Mkuu Zakaria Kakobe?

Hajaonekana Kanisani wala hakuna taarifa yoyote kumhusu kama yupo nje ya nchi tangu Desemba mwaka jana.

Tetesi ni nyingi sana kumhusu.
 
Tetesi gani umezisikia
Tangu alipoonekana mara ya mwisho ibadani pale kanisani Mwenge, hawajawahi kuonekana tena publicly na hata kwa waumini na watu wake wa karibu.

Taarifa za chini zinaelezea kuwa upo uwezekano anaumwa tena hoi vibaya mno.

Afya yake inasemekana ilianza kuyumba baada ya ile event ya TRA kumtembelea na kutoa ripoti ya ucbunguzi wao inayomhusisha mwandani wake na mwanae kujikwapulia mafao ya huduma na kuwekeza huku wakikwepa kodi.

Hivi ninavyoongea, hakuna taarifa yeyote kumhusu ambayo msharika yeyote wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship anafahamu kumhusu.

Mpaka sasa mtu pekee anayeweza kumfikia nje ya familia yake ni katibu wa Kanisa Askofu Meshack ambaye amelelewa na kukulia nyumbani kwa Askofu Kakobe. Lakini yupo loyal sana kwa mke wa Askofu Mkuu.
 
Unasema hakuna anayejua kumhusu zaidi ya Katibu ambaye ni loyal kwa familia, bado unatuuliza sisi yuko wapi Askofu?
 
Umofia kwenu.

Wakuu, hivi yupo wapi Askofu Mkuu Zakaria Kakobe?

Hajaonekana Kanisani wala hakuna taarifa yoyote kumhusu kama yupo nje ya nchi tangu Desemba mwaka jana.

Tetesi ni nyingi sana kumhusu.
KUMBE HOJA HII UNAFAHAMU ASKOFU ZACHARY KAKOBE ALIWAJIBU NINYI MAFISI !

Nimefatilia HOJA yako Msanii uliyoweka hapa na maoni ya wengine. Kifupi Askofu Zachary Kakobe tayari alishajibu upuuzi huu hadharini na Audio ziko kwa watu mitaani hasa washirika wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship nchi nzima siku nyingi unavyojua wewe Msanii na wenzako wenye tabia za Hayawani mwitu wabaya walioko ndani na nje ya kanisa.

Imeandikwa katika waraka kwa Tito 1:12 kwamba:-
Mtu wa kwao, nabii wao wenyewe, amesema, Wakrete ni waongo siku zote, hayawani wabaya, walafi wavivu. (One of themselves, even a prophet of their own, said, The Cretians are alway liars, evil beasts, slow bellies.)

Umejibu kwa jaziba mtumishi
 
Ndio maana huwa sipendi urafiki na watumishi. Umejibu nini hasa hapa?
 
Yupo mahali anakula maisha tu
Maana kavuna sana pesa za mambugila

Ova
 
Back
Top Bottom