LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 26,828
- 41,352
wajinga kama wewe ndio mtaaminiNa kuna wajinga watakuamini
wajinga kama wewe ndio mtaaminiNa kuna wajinga watakuamini
Una miezi miwili tu jamvini. Wenzio tupo tangu enzi za KikweteHuu uongo uongo wa kuzushwa na kuvumushwa umeenea siku hizi kwa sababu miji mikubwa imejaa hawa walugaluga waliotoka maporini na kujifunza kutumia mitandao.
Hawaamini wanapoona wahindi, waarabu na wasomali na wazenji wanamiliki biashara kubwa na majengo katikati ya miji, na kuanza kujenga chuki na kudanganyana vijiweni kutwa nzima kuwa hao ni wezi na mafisadi na wala hawajishughulishi, wanashinda hapo siku nzima kulopolopo ujinga.
Yaani ni rahisi sana kuwapata walugalugaUna miezi miwili tu jamvini. Wenzio tupo tangu enzi za Kikwete
mwaka huu hizo mali zenu mzifiche kabisa maana GenZ hawacheki na mafisadiWapo watu wakishakusoma wanakuchukulia kana kwamba unamaanisha hiki ulichoandika, hawana zile hisia kwamba hapa jukwaani sio kila kinachoandikwa kinapaswa kuwekwa moyoni kabisa.
Abdul hana chochote cha maana anachoweza kukifanya Tanzania, habari yako sawa na ule uzushi kwamba Mama Sitti Mwinyi ndiye aliyemiliki lile ghorofa linalotazamana na Mahakama ya Kisutu,.
Story zinavumishwa zinashika kasi matokeo yake vijana wa Gen Z wanakwenda kutia moto mali ya mtu fulani wakiamini uzushi wa JF.
Halafu msg yenyewe imekaa kibabe sanaUna amka asubuhi ghafla unatumiwa sms na tume eti toa ushahidi wa matukio yaliyotokea oct inatia uchungu sana!!!
Hata wenje anamsingizia kuwa alimpeleka kwa lisu akamhonge?Mengi anasingiziwa, wabongo tunaabudu uzushi (gossiping).
Ukiongea hivi utakuwa unawaponza hao watoto wa watu. Watapoteza maisha huku wakiondoka duniani kama walivyokuja.mwaka huu hizo mali zenu mzifiche kabisa maana GenZ hawacheki na mafisadi
Story za wanasiasa hizo, umewahi kumsikia au kumuona Abdul akiongea mahali popote?.Hata wenje anamsingizia kuwa alimpeleka kwa lisu akamhonge?
NdioStory za wanasiasa hizo, umewahi kumsikia au kumuona Abdul akiongea mahali popote?.
Mwendo wa kuchafuana tabia za wanasiasa nyakati za siasa za upinzani.Ndio
Nadhani kwako wewe hata ukiambiwa kuna raia wasio na hatia waliuliwa O29 utasema ni uzushi. Ila ukiambiwa sa100 alipata ushindi wa 98% unaamini ni kweli. Hivi ktk population ya 60m, utoe wale under 18yrs, utoe wale ambao normally hawapigi kura, utoe vikongwe, then unapata wapi watu 32m waliompa kura! Nani hakushuhudia voter turn out ilivokuwa low?Story za vijiweni hizo. Aingize shehena ya silaha kwa mamlaka gani aliyonayo?.
Mnatunga hadithi mpaka mnaishia kuonekana vichaa. Acheni ujinga huo, aina hii ya uzushi inasambaa kiasi cha watu watakaosikia kuanza kudhani kwamba kuna ukweli wowote.
Muogopeni Mungu nyinyi, mnatunga sana habari za uongo.
Wabongo acheni kutengeneza hizi conspiracy theories.
Ukiwa na nchi ambayo tume ya uchaguzi ni kikundi cha kuiba kura kumsaidia mshindani wako maandamano hayakwepeki. Hizo bunduki zingekuwa ndo kiboko ya waandamaji dunia hii tusingekuwa tunasikia vurugu za watu kudai haki. Bila kuthamini kura ya mwananchi hivi vitu vitatokea tu katika kipindi fulani. Angalia huko Iran watu walikuwa wanaogopa hata kuwaza tu vibaya kuhusu serikali yao leo hii wameingia barabarani baada ya unyanyasaji kwa miaka mingi.Ukiongea hivi utakuwa unawaponza hao watoto wa watu. Watapoteza maisha huku wakiondoka duniani kama walivyokuja.
Mama na Baba zao wakija kuomba misa ya wafu katika kanisa katoliki Paroko hawezi kuwanyima.
Wanalipia tshs 2,000 na ombi lao linasomwa kwenye misa.
Yule dada mtu mzima wa kule Ulaya anayeweka picha zake za zamani ili awadanganyie hao Gen Z hachoki kuwajaza ujinga kule instagram, yeye yupo huko Scandinavia hawa watoto anaowachuza wapo hapa TZ.
Juzi baada ya kuona maandamano yamemdodea kaanza kurusha video za zamani!, anaendelea kuzeeka vibaya sana yule dada.
yaani sentesi moja imekuchanganya umejibu gazeti? unalipwa sh ngapi na maFISIEMU uyatetee humu? au ni buku 7 ndio bei yako!Ukiongea hivi utakuwa unawaponza hao watoto wa watu. Watapoteza maisha huku wakiondoka duniani kama walivyokuja.
Mama na Baba zao wakija kuomba misa ya wafu katika kanisa katoliki Paroko hawezi kuwanyima.
Wanalipia tshs 2,000 na ombi lao linasomwa kwenye misa.
Yule dada mtu mzima wa kule Ulaya anayeweka picha zake za zamani ili awadanganyie hao Gen Z hachoki kuwajaza ujinga kule instagram, yeye yupo huko Scandinavia hawa watoto anaowachuza wapo hapa TZ.
Juzi baada ya kuona maandamano yamemdodea kaanza kurusha video za zamani!, anaendelea kuzeeka vibaya sana yule dada.
Dunia yenye Science na Technology inalazmish kupew ushahidUna amka asubuhi ghafla unatumiwa sms na tume eti toa ushahidi wa matukio yaliyotokea oct inatia uchungu sana!!!
lakini sijawahi kusikia familia ya Nyerere, Mwinyi au Magufuli ikiattackiwaChaDema wana mbinu za kijinga sana kusingizia na ku -atack familia za Marais. Walianza na Ridhiwan Kikwete kumiliki kila jengo kila wilaya na kila mkoa na kila kituo cha mafuta, sasa hivi wameamia kwa Abdul!
Wakawapata vijana wasio na uzoefu na propaganda zao za udanganyifu, wakawaingiza kwenye uongo na mihemuko wakaingia mitaani wakakutana na dola!
Too bad vijana wengi wa kichaga na kaskazini waliathirika na propaganda na ujinga wa wazazi wao! Wakawa frontline wakiamini kinachosemwa.
Sasa hivi wanashindwa kukubali ukweli kuwa wao ndio waliosababisha wanabaki kulaumu vyombo vya usalama