Yupo wapi Abdulhalim Hafidhi Ameir?

Yupo wapi Abdulhalim Hafidhi Ameir?

Yote kwa yote, msala wote abebeshwe samia tu maana yeye ndo alikua amri jesh mkuu (kauli ya mwisho). Kwann abariki yote yale yatokee!
huwa nakereka sana , mlitaka mmpak wakucchomme wewe ndo ujue wale walikuwa maharamia?
 
yaani sentesi moja imekuhanganya umejibu gazeti? unaipwa sh ngapi na maFISIEMU uyatete humu? au ni buku 7 ndio bei yako!
Uzalendo tu, mimi sio wale vijana wanaochoma vituo vya mwendokasi halafu wadogo zao wanaanza kupata taabu ya usafiri wa kuwafikisha mashuleni
 
Ila Mungu huyu
Yaani mtu anapata utajiri na anaishi Kwa anasa Kwa kuuwa binadamu.
Naomba Mungu damu za Watanganyika wenzetu zisiende bure
yeye hakuangaika na kulinda utawala wake aliwalinda akina billnass, shilole, devoice, lake oil, ester luxxury coaches, shabiby na abood wengi wasiendelee kudhurukika vibaka vimbwa kokoko vikaingia kumi na nane walikuwa wanajipa moyo eti piga tu , mbona hawajatoka tena mbwa kabisa
 
Huyu mtu mtoto wa Rais Samia yupo wapi? Hasikiki kabisa.

Yaliyoko kwenye korido za wanausalama wazalendo ni kwamba mratibu Mkuu wa matukio ya mauaji ya MO29 ni huyu mtu.

Ndiye aliyekuwa mastermind na ndio maana serikali inakigugumi kizito kuchukua hatua yoyote kwani kila kitu kipo under his control.


Tusichokijua umafia ni maisha ya kila siku ya mtu mwenye asili ya visiwani.
"Life is about to kill or get killed"--Abdul Hafidhi Ameir on twitter/X in 2014
 
Back
Top Bottom