Yupo mwana JF bado anacheza BIKO?

Yupo mwana JF bado anacheza BIKO?

TOHATO

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
1,479
Reaction score
5,326
Yaani kama kuna mtu bado hajaelewa huu mchezo wa biko basi kuna haja ya kumpima mkojo.

>Yule wa milioni 260 yuko wapi?
>Yule wa milioni 100 yuko wapi?

>Kuna mdada wa mtaani naona katangazwa mshindi wa milioni kumi ni wiki sasa ila sijaona hata muonekano wa milion moja.

Sina shida na biashara ya BIKO ila wawe wawazi sio kuwa kama serikal flani hivi inasema imejenga hosteli kwa bilion 10 kumbe ni bilioni 54.
 
Ebu ushahidi wa wazi uwekwe hapa , kama una ndugu jamaa au rafiki wa karibu amewahi shinda biko, tatu mzuka aseme jamani...
 
huu mchezo mie nauona kama mazingaombwe tu
nilishajaribu kuucheza wakala buku tatu yangu pasipo kuelewa imeliwaje
acha nibaki kwenye kubeti mpira tu
 
Niliwala tatu mzuka laki moja japo walintumia elf 82 baada ya makato ya kodi màana walishanipiga kama elfu 9 hawakuniona tena hadi leo wasije wakarudisha pesa zao
 
At the beginning: Malipo yamekamilika umelipa Tsh30000 kwenda BIKO.Kumb no.505050

At the end: BIKO! BIKO! BIKO! umejishindia Tsh 5000 kutoka BIKO salio lako jipya ni Tsh 4200..una nafasi 30 kwenye jackpot ya Jumatamu

My take:wezi wa sasa hawakabi wala kutumia nguvu...Bali hutumia saikolojia kuwapumbaza mazuzu...iweje utoe 30000 halafu upewe 5000??? Ndugu zangu Watanzania tujitathmini...Mnaliwa sana!
 
Back
Top Bottom