Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,406
Cheza Biko mshiko njeee njeeee[emoji1] [emoji1] [emoji1]Watu kama nyinyi ndio biko inawatumia kuwaingiza kingi wenzenu, wanawaonjesha ushindi ili mkatoe ushuhuda na kivutia wengi zaidi..
Cheza Biko mshiko njeee njeeee[emoji1] [emoji1] [emoji1]Watu kama nyinyi ndio biko inawatumia kuwaingiza kingi wenzenu, wanawaonjesha ushindi ili mkatoe ushuhuda na kivutia wengi zaidi..
Hakuna kitu kama hicho.Biko nilishapata laki tano, tatumzuka nilipata milioni mbili. Ila huwezi kula kama haupo tayari kuliwa.
Clouds FM ndo promoters wao na hakuna anayewahoji? Au wana ubia?At the beginning: Malipo yamekamilika umelipa Tsh30000 kwenda BIKO.Kumb no.505050
At the end: BIKO! BIKO! BIKO! umejishindia Tsh 5000 kutoka BIKO salio lako jipya ni Tsh 4200..una nafasi 30 kwenye jackpot ya Jumatamu
My take:wezi wa sasa hawakabi wala kutumia nguvu...Bali hutumia saikolojia kuwapumbaza mazuzu...iweje utoe 30000 halafu upewe 5000??? Ndugu zangu Watanzania tujitathmini...Mnaliwa sana!