Yupi wa kuoa?

Yupi wa kuoa?

Ata mimi nimeliona hili, ila tatizo liko kwa mwenye mimba mana kabla nilimwambia asifikirie kuwa nitamuoa, kwa maana ninaishi na mwanamke, sasa ananiambia ww hukupanga kunioa ni wazazi wanao kuamulu na pia anamwogopa huyu mwanamke ninaye ishi nae atamfanya vibaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiulize unaoa kwa ajili yako au unaolea ukoo wako??

Je ni ujauzito ndio umekufanya utake muoa huyo au ni hayo mapenzi ya nduguzo??

Hebu stand as a man, kua na msimamo, we usikubali kupelekeshwa na hisia wakat mwengine hutuongopea fikirisha akili yako na moyo wako utapata majibu
Mwanamke ninayeishi nae nilimpenda na ndio mana hata mwenye mimba nilishamwambia sitamuoa.
Mwanamke ninaye ishi nae ki ukweli huwa ananionesha mapenzi yote kwa mimi tu,
Mana nilipoenda masomoni nilimwacha na wadogo zangu wawili ,wakike na wakiumw ambao walikuwa wanasoma kidato cha pili na cha tatu ,nilipoondoka tu, nao muda warikizo wakaondoka wasirudi kwa madai yule mwanamke niliyewaacha nao alikuwa akiwatesa.
Na mimi upendo ukaisha kwake.

Nawe ukaamini alikuwa anawatesa kweli, embu chunguza vitu kwanza maana unaweza mchukia mpenzi wako kwa vitu ambavyo ni vyakupangwa kuishi na ndugu wa damu ukiwa na mke ni ngumu mda mwingine hasa ukute kuna mgongano katika mawasiliano yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom