Yupi utakaye muanza kumpa pesa hapa?


Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,634
Likes
2,316
Points
280
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,634 2,316 280
Dunia ya sasa,naona mbwa ndiyo anathaminiwa sana...huyo paka atapewa maziwa ili ahamke maana anaonekana kalewa mno.
 
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
8,762
Likes
64
Points
0
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2013
8,762 64 0
Nitamsaidia nyau.... But stompa hela ila nitammiminia maziwa kwenye kikombe chake naona yupo hoi ilembaya
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,679
Likes
2,802
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,679 2,802 280
Duh. Jamaa anabeg yeye na familia yake. Huko mukulu anakoendaga kupitisha bakili nadhani wanatuona hivi pia. Manake hadi kupewa msaada wa net, duh
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
32,038
Likes
5,355
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
32,038 5,355 280
unaweza mpa paka maziwa lakini paka wa wenzetu wanakaula chakula kizuri kuliko maziwa yetu...
 
ummu kulthum

ummu kulthum

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Messages
2,791
Likes
13
Points
0
ummu kulthum

ummu kulthum

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2012
2,791 13 0
ntawapa wote bila kubagua kwani wote ni viumbe wa mungu
ila kale ka msemo kamfadhili mbuzi ipo siku utakula kisusio kuliko binadamu takatupilia mbali!
 
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,185
Likes
7,622
Points
280
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,185 7,622 280
MziziMkavu kwani hela huwekwa kwenye kikombe!!!labda wanahitaji kimiminika fulani!!ila huyo binadamu simpi ameficha uso wake kwa nini!
 
Last edited by a moderator:
last man standing

last man standing

Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
81
Likes
0
Points
13
last man standing

last man standing

Member
Joined Apr 3, 2012
81 0 13
Nampa mfugaji, huyo binadamu alielala. akawanunulie maziwa hao viumbe wengine.
 
Thomas Odera

Thomas Odera

Verified Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
649
Likes
21
Points
35
Age
46
Thomas Odera

Thomas Odera

Verified Member
Joined Nov 1, 2010
649 21 35
Nitampatia mbwa maana akishiba atanisaidia ulinzi wa mali zangu.
 

Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,526,029