YUPI unayemjua humu JF?

Mi nimebahatika kumjua mmoja tu anatumia PCM
Nimefurahi kumfahamu naye pia alifurahi kunifahamu.
 
Napita sababu kuna jamaa waJF humu ndani nilimuona kwenye costa ni bonge la Mtu mpaka nikaogopa kulisemesha.
 
kwenye chitchat bado sijakutana na yoyote, lakini kwenye jukwaa la matangazo madogo , nimekutana na wengi tu in business issues.....
 
Nahisi wote humu mna nijua si mna fuatilia series za movie zangu wajameni......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom