Kama uliandika hivyo bhasi uliona mbali nimeangalia jinsi inavyoelekea Hii sio vita Ya kijiographia kama tunavyoaminishwa maana naona imehama kabisa ..sasa ina mlengo mwingine kabisaHii vita iliyoanzishwa juzi 7/10.23 wengi wetu tunatazama vyombo vya habari vya poropaganda bila kuhangamsha akili zetu.
Very simple, wala haihitaji rocket science kuuelewa ukweli.
Niliandika hivi:
Na hivi:
![]()
Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza
Historia inaonesha wayahudi wa Israel kila waliposhambuliwa na wanamgambo wa Hamas walilipiza kisasi papo kwa papo bila kusubiri. Nini kilichwafanya safari hii "wajipange" kwa muda mrefu na huku wanadai kuwa watu wao wengi wametekwa? Jibu ni jepesi sana; Hamas ndiyo walioshambulia na katika...www.jamiiforums.com
Wengi wanaofata propaganda, za pande zote mbili, ni vigumu kunielewa. Inatakiwa uwe "free thinker" kikweli kweli kunielewa.
Sijakuelewa, ongea taratibu, tumia Kiswahili, bila hamaki. "filigisi" ndiyo nini?Allah ndio anakutumeni muwe filigisi vile
Unalosema ni kweli kabisa, je umeona kuna kibaya kwenye hiyo unayosema "misemo" yangu? Inakupotosha"? Au inakufundisha jambo baya lolote?Hiyo ni misemo tu hata katoto ka chekechea kanaweza kutunga Misemo kama yako.
sasa kwanini aruhusu miungu mingine iwepo?Yahweh, Jehova, Elohim.....
Mungu aliyejifunua Kwa nyakati tofauti ki-agano,ndie Mungu wa kweli na wapeke!
Aliyeziumba Mbingu na Dunia,na vyote vilivyomo!
Subiri mpk mwisho uone nani atasaidika na Mungu wake!
Unamjua ngombe dume? Kuna kitu huwa kinaning'inia kutoka kwake katikati ya miguu ya nyuma kipo kama soksi iliyowekwa jiwe nSijakuelewa, ongea taratibu, tumia Kiswahili, bila hamaki. "filigisi" ndiyo nini?
Naam, ya Mwenyezi Mungu kupitia Qur'an.Swali langu Mimi hayo ni maneno ya Nani je ni ya Mungu au ya Nani
Sasa hayo maswali mdogo wangu yako nje ya uwezo wangu😂sasa kwanini aruhusu miungu mingine iwepo?
Mimi naona anafanya makusudi ili apate watu wa kuchoma milele....
Naam, ya Mwenyezi Mungu kupitia Qur'an.
Maneno ya Muhammad hayo ndugu yangu.YWHW amekua akiongea.kwa nafsi yake.Huyo anaongea.kwa nafsi ya piliNaam, ya Mwenyezi Mungu kupitia Qur'an.
Kumbe unaelewa,Sasa hayo maswali mdogo wangu yako nje ya uwezo wangu😂
Hivi hapo MUM mnasoma kweli?au hizi propaganda ndo homework zenu?MKuu fuatili media za kimataifa utajifunza mengi walizima internet ili habari wawe wanatoa wao tu ili kudanganya ulimwengu ila mungu kawezesha internet palestina wamepata na habari tunazipata
Kipi ambacho sio cha kweli?Hivi hapo MUM mnasoma kweli?au hizi propaganda ndo homework zenu?
Haya mnadanganyana huko kanisani hakuna sehemu yoyote Quran inasema kuwa Mtume Muhammad ndio Muislam wa kwanza DunianiWANGEFUATAJE DINI AMBAYO HAIKUWEPO WAKATI HUOO, MAANA DINI YENU IMEJEGWA KWENYE MSINGI WA SHARIA. HALAFU MOHAMED ANADAI YEYE NDIO MUISLAM WA KWANZA AU NI UONGO