Yupi Mungu wa kweli Allah and Yaweh

Yupi Mungu wa kweli Allah and Yaweh

Mungu ama kitu kinachoitwa Mungu hakipo achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
Kipo, Amini yupo, amini yupo! na ananguvu balaa na anakusikia pia anakujua in and out, Amini, Amini, I can't explain more!, labda shida iwe kwenye kuchukua majina ya mataifa mingine, mfano wachaga wanamuita RUWA , kabla biblia hazijaja walimuamini RUWA, mpaka hata siku za wiki zilikuwa na majina yake, mfano, siku ya mungu WALIITA MFRO RUWA!., wakiamka asubuhi walikuwa wanageukia mlima wanatema mate chini na kusema AIKA RUWA!
 
Mwenye kutuambia ukweli kuhusu dini ni mmoja tu,tumtafute aliyekuepo wakati inaanzishwa atuelezee ,zaidi ya hapo hawa wengine ni kama sisi tu
 
Kipo, Amini yupo, amini yupo! na ananguvu balaa na anakusikia pia anakujua in and out, Amini, Amini, I can't explain more!, labda shida iwe kwenye kuchukua majina ya mataifa mingine, mfano wachaga wanamuita RUWA , kabla biblia hazijaja walimuamini RUWA, mpaka hata siku za wiki zilikuwa na majina yake, mfano, siku ya mungu WALIITA MFRO RUWA!., wakiamka asubuhi walikuwa wanageukia mlima wanatema mate chini na kusema AIKA RUWA!
Mungu wa kwenye biblia ama Quran hayupo na hajawahi kuwepo. Ni fiction figure, hakuna kitu kama hicho.
 
Kila siku sisi Atheists tuna waambia kwamba...[emoji116]

Mungu huyo Hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Tatizo lenu mmekaza mafuvu, hamtaki kuelewa.

Mungu huyo wa Waisraeli angekuwepo sidhani kama angeruhusu hata bomu lipige taifa lake hilo mnalodai ni teule.

Watoto wachanga wasio na hatia yeyote wanakufa kama kumbikumbi.

Halafu mnadai huyo Mungu ni mwema mwenye Upendo na huruma sana.

Mungu huyo kama yupo basi ni mbaya, muovu na mkatili sana...

Screenshot_20231020-132727.jpg
 
Sasa Mbona mna mungu wengi sana Kuna Yahweh,Yahovah ,Elohim, Elshadai n.k
Chagueni mmoja tujue yupi
Jina la Mungu ni moja tu. Utofauti ni 1)utamkaji 2)Watu kutofautisha majina ya sifa na jina halisi. Mfano mzuri Yahwe,YAH,YHV,Yehova, Jehovah,Yeoba na nyingine nyingi kulingana na inavyotamkwa kwa kila kabila ni jina moja la Mungu wa pekee ni sawa tu na jina la Yesu kila kabila linatamkwa tofauti. Ukija kwenye majina ya sifa, nakupa mtihani nenda kwenye quran soma yale majina 99 ya Mungu utagundua asilimia kubwa zimeanza na neno "Yah" then neno linalofuata linakua ni sifa. Yapo pia majina mengi tu ya sifa kama Mungu,Bwana,Elshedai,Alfa na Omega. Nimejaribu kukujibu kifupi tu mana wew unakujaga na hoja nzuri sana ila ttzo lako unatoa hoja huku umekariri majibu yako badala ya kutafakari ya wennzako
 
Huu mjadala tutawajua wenye hoja na wabwatukaji,wenye ufahamu wa dini na wafuata mikimbo,wenye kuamini njia ya kweli na wenye kurithi dini za wazazi wao. OVER!
Mungu hayupo siku zote.

Ndio maana hoja ya kutokuwepo Mungu iko clear kabisa, Haina Logical Contradiction yeyote.

Lakini hoja ya uwepo wa Mungu anayedaiwa kwamba ni mwema sana mwenye huruma na upendo kwenye dunia iliyo jaa uovu na ukatili ni hoja DHAIFU sana yenye Contradiction nyingi sana na sintofahamu kubwa.
 
Ungezaliwa India unauhakika usingekua mhindu?, ungezaliwa brazil unauhakika usingekua mkristo mkatoliki? Ungezaliwa indonesia unauhakika usingekua muislam? Vp ungezaliwa norway, ama china

Kila mtu aheshimu dini ya mwenzake (dhihaka zipungue)
Hakika
 
Jina la Mungu ni moja tu. Utofauti ni 1)utamkaji 2)Watu kutofautisha majina ya sifa na jina halisi. Mfano mzuri Yahwe,YAH,YHV,Yehova, Jehovah,Yeoba na nyingine nyingi kulingana na inavyotamkwa kwa kila kabila ni jina moja la Mungu wa pekee ni sawa tu na jina la Yesu kila kabila linatamkwa tofauti. Ukija kwenye majina ya sifa, nakupa mtihani nenda kwenye quran soma yale majina 99 ya Mungu utagundua asilimia kubwa zimeanza na neno "Yah" then neno linalofuata linakua ni sifa. Yapo pia majina mengi tu ya sifa kama Mungu,Bwana,Elshedai,Alfa na Omega. Nimejaribu kukujibu kifupi tu mana wew unakujaga na hoja nzuri sana ila ttzo lako unatoa hoja huku umekariri majibu yako badala ya kutafakari ya wennzako
Mkuu nimefurahi kwa majibu yako sana!
Na nikutoe wasiwasi tu kwamba huwa nakuja na hoja na pia huwa najifunza mengi kutoka kwa wana jf na ukiona naipinga hoja jua imedeviate from the original, na hoja hiyo kwa wazi kabisa lengo lake ni upotoshaji!

Napenda ulivyojibu Na kwakuwa umejibu vizuri bila mihemko napenda kukuongezea kuwa Jahovah au Jehovah ni latinised version ya YAHWEH (Wengi hawajui)

YAHWEH (Au kwa hebrew ni muunganiko wa herufi nne na mara nyingine wayahudi huliita hili jina Tetragrammaton) limetokana na herufi (Ye י He ה ,Waw ו na mwisho ni He ה...

Sasa hili jina mkuu ni jina la sifa la Mungu na lina maanisha Niliyepo au Niko au nitakuwepo...
Ni Jina la sifa na sio Jina la Mungu japo Katika biblia wamelitafsiri na kuweka neno Bwana badala yake...

Naomba
nikukosea vitu kidogo mkuu;
Kuhusu Majina ya Quran nayajua na Majina ya biboia pia nayajua Hakuna neno kwenye majina ya Mungu kwwnye Quran linaloanza na Yah...
Ila Mengi huanza na يا au Yaa kwa kuashiria Muito wa heshima kama unavyomuita Mtu Yaa Hassan..(Yaani we Hassani)
Kuweka Yaa mwanzoni kunatambulisha sifa ya huyo mtu kwa mfano Yaa salaam (Ee mwenye Amani...Au Eeh Amani Au wewe Amani)....

Kuhusu matamshi ya Yesu kutofautiana hauoni kwanba ndo Kosa la kwanza Grammatically Jina la mtu halibadiliki kutegemeana na mazingira..
Tafsiri zetu za vitabu zilichezewa sana tuamini hivyo..

Ntakupa challenge unafikiri kwanini Jina la Yakobo ambapo zamani lilitwa Kwa kingereza Jacob...Wazungu wakalibadlisha kwenye Tafsiri ya Biblia baadaye na kuwa James? Wakati huo James and Jacob both are english Names?

Na mkuu Kingine nimetoa Challenge kuhusu Jina la Mungu Kuu ambalo ni Elohim..
Kwamba Elohim ni Wingi kwa kihebrania..
Eloh na eloha ni umoja..
Kwanini wasingetumia Eloh kuonyesha umoja huo kuliko kuonyesha wingi kama elohim wakati huo hata yesu alipokaribia kufa msalabani aliita Eloh eloh na kwanini asingeita Elohim elohim?
 
Katika vita hivi vya Israeli na Palestina nimejifunza kitu kimoja.
Vita hivi vinapiganwa kimwili na kiimani.
Baada ya kuona video kazaa za akina mama wa Israeli wakimlilia yeweh awasaidie katika mapambano hayo washinde wao.
Ivo ivo kwa upande wawapelstina na ndugu zangu waislam nao wanamlilia allah wao awasaidie katika mapambano haya washinde.
Sisi watu ambao tulimpoteza Mungu wetu.
Tunaangalia yupi Mungu wa kweli hapa.
Atakaye shinda ndo kunapatikana Mungu wa kweli.

Israeli atapigwa kwasababu wamemuacha YHWH na kukubali Usodomy.

Hivyo YHWH atawatia mikononi mwa waarabu na hali zao zitakuwa mbaya kama Ukraine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom