Yupi Mungu wa kweli Allah and Yaweh

Yupi Mungu wa kweli Allah and Yaweh

Hizo ni propaganda
Just imagine nchi ambayo inatwanga 6+ countries ije kupigwa na kikundi cha wanamgambo ambao wanatumia mikuki sio silaha [emoji23][emoji30][emoji23]
Any ao sijui hezbollah wapo waambie waende kusaidia palestina Israeli inawasubiri [emoji30][emoji23][emoji2]
Soma hii report ya jeshi la marekani ujue ukweli ambao israel hautaki uonekane kwasababu imezoea kulisha watu matango pori, na hii ndio sababu israel inamuogopa sana iran, walipigwa hadi wanajeshi wakawa hawataki kupigana wanasema we are fighting with ghosts
 
Attachments

  • Screenshot_20231018-192318_Drive.jpg
    Screenshot_20231018-192318_Drive.jpg
    95.4 KB · Views: 11
  • Screenshot_20231018-192425_Drive.jpg
    Screenshot_20231018-192425_Drive.jpg
    32.5 KB · Views: 9
Za kuambiwa changanya na za kwako, mambo yao waachie wenyewe...
 
Soma hii report ya jeshi la marekani ujue ukweli ambao israel hautaki uonekane kwasababu imezoea kulisha watu matango pori, na hii ndio sababu israel inamuogopa sana iran, walipigwa hadi wanajeshi wakawa hawataki kupigana wanasema we are fighting with ghosts

Tumieni akili nyinyi
Hivi unafikiri USA anaweza kutoa matokeo ya kipigo cha Israeli kweli zaidi ya propaganda za kutaka kutengeneza njia fulani kufikia wanacho kitafuta
Use your brain my bro

Any way Iran yupo
Pakistan usa
Turkey yupo
South Arabic yupo
Egypte yupo
Algeria yupo
Morocco yupo
Idonesia yupo
Iraq yupo
Nasikia kwasasa urusi yupo upande wenu yupo
China yupo
Nord Korea yupo na mataifa mengine ya kiarabu wapo
Nendeni pale kutetea palestina Israeli haogopi chochote anawasubiri ili mle kichapo basi
 
Mimi mkuu Jerrie niko Independent na sina Bias kwa Mungu yeyto Kwa Allah Sawa kwa YHWH sawa Mimi sijajifunga kwa njia yoyote ile
Na nivyema kutokua na upande maana miungu yote miwili ilikuja na majahazi hatujui mungu yupi wa kweli
 
Tumieni akili nyinyi
Hivi unafikiri USA anaweza kutoa matokeo ya kipigo cha Israeli kweli zaidi ya propaganda za kutaka kutengeneza njia fulani kufikia wanacho kitafuta
Use your brain my bro

Any way Iran yupo
Pakistan usa
Turkey yupo
South Arabic yupo
Egypte yupo
Algeria yupo
Morocco yupo
Idonesia yupo
Iraq yupo
Nasikia kwasasa urusi yupo upande wenu yupo
China yupo
Nord Korea yupo na mataifa mengine ya kiarabu wapo
Nendeni pale kutetea palestina Israeli haogopi chochote anawasubiri ili mle kichapo basi
Kwa vita hii ilikofikia Mkuu Israel hawezi kushinda Maana vita imehamishwa kwenye mlengo wa KiGeographia kuingia kweny mlengo wa kidin eti kupigania msikiti 🚮

Huku watu wakipoteza maisha 🚮🚮
Sasa huyo Mungu anayeruhusu watu wasio na hatia wapotee ili alindw nyumba yake
 
soma report acha porojo unadhani wazungu wana ushabiki maandazi kama wako, mtu kapigwa , kapigwa tu watu wote si wameona kasoro nyie kondoo wa mwamposa ndio hamtumiagi akili, juzi juzi blair kakiri na kaomba msamaha kwamba vita ya iraq was a mistake walidanganywa na kaomba msamaha , hao ndio wazungu, na ukiangalia nchi 2 za kwanza duniani zilizopewa nafasi nyingi za kuingia marekani kwa miaka mitano nyuma ni za kiarabu ikiwemo afghanistan , ingekuwa wewe na chuki zako nadhani ungesema waarabu wasiingie marekani, wazungu hawapo sawa na ngozi nyeusi ambao mmejaa hisia na mihemuko , sasa mtu watu wote wameona kabondwa vibaya wewe unasema uongo, una akili kweli
 
Mungu ni mmoja tu nae ndio aliyoumba mbingu na aridhi na viumbe vyote

Waisrael waliacha kufuta uislam ambayo ndio dini ya Babu zao Yani Ibrahim, Isihaka na Jacobo wakazusha dini Yao Kwa maslahi wanayoyajua wao na sio kama hawajui wanajua sana illa ni jeuri Yao tu

Quran 2:40 -
Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni neema yangu niliyo kuneemesheni, na timizeni ahadi yangu, na Mimi nitatimiza ahadi yenu, na niogopeni Mimi tu.

Quran 2:41 -
Na aminini niliyo yateremsha ambayo yanasadikisha mliyo nayo, wala msiwe wa kwanza kuyakataa. Wala msiuze Ishara zangu kwa thamani ndogo. Na niogopeni Mimi tu.
WANGEFUATAJE DINI AMBAYO HAIKUWEPO WAKATI HUOO, MAANA DINI YENU IMEJEGWA KWENYE MSINGI WA SHARIA. HALAFU MOHAMED ANADAI YEYE NDIO MUISLAM WA KWANZA AU NI UONGO
 
Kwa vita hii ilikofikia Mkuu Israel hawezi kushinda Maana vita imehamishwa kwenye mlengo wa KiGeographia kuingia kweny mlengo wa kidin eti kupigania msikiti [emoji706]

Huku watu wakipoteza maisha [emoji706][emoji706]
Sasa huyo Mungu anayeruhusu watu wasio na hatia wapotee ili alindw nyumba yake

Na bado watapotea israeli atashinda
Ezekieli 6

Aliye mbali sana atakufa kwa maradhi mabaya. Aliye karibu atauawa kwa upanga. Atakayekuwa amebaki na kunusurika hayo mawili atakufa kwa njaa. Ndivyo nitakavyotimiza ghadhabu yangu dhidi yao. 13Maiti zao zitatapakaa kati ya sanamu zao za miungu na madhabahu zao, juu ya kila mlima, chini ya kila mti mbichi, chini ya kila mwaloni wenye majani na kila mahali walipotolea tambiko zao za harufu nzuri ya kuzipendeza sanamu zao za miungu. Hapo ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu. 14Nitaunyosha mkono wangu dhidi yao, na kuiharibu nchi yao. Tangu huko jangwani kusini mpaka mjini Ribla kaskazini, nitaifanya nchi yao kuwa mahame kabisa wasipate mahali pa kuishi. Hapo ndipo wote watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.”
 
soma report acha porojo unadhani wazungu wana ushabiki maandazi kama wako, mtu kapigwa , kapigwa tu watu wote si wameona kasoro nyie kondoo wa mwamposa ndio hamtumiagi akili, juzi juzi blair kakiri na kaomba msamaha kwamba vita ya iraq was a mistake walidanganywa na kaomba msamaha , hao ndio wazungu, na ukiangalia nchi 2 za kwanza duniani zilizopewa nafasi nyingi za kuingia marekani kwa miaka mitano nyuma ni za kiarabu ikiwemo afghanistan , ingekuwa wewe na chuki zako nadhani ungesema waarabu wasiingie marekani, wazungu hawapo sawa na ngozi nyeusi ambao mmejaa hisia na mihemuko , sasa mtu watu wote wameona kabondwa vibaya wewe unasema uongo, una akili kweli

Lakini kichapo Mnakula basi
 
Kwa vita hii ilikofikia Mkuu Israel hawezi kushinda Maana vita imehamishwa kwenye mlengo wa KiGeographia kuingia kweny mlengo wa kidin eti kupigania msikiti 🚮

Huku watu wakipoteza maisha 🚮🚮
Sasa huyo Mungu anayeruhusu watu wasio na hatia wapotee ili alindw nyumba yake
Hii vita iliyoanzishwa juzi 7/10.23 wengi wetu tunatazama vyombo vya habari vya poropaganda bila kuhangamsha akili zetu.

Very simple, wala haihitaji rocket science kuuelewa ukweli.

Niliandika hivi:

Na hivi:

Wengi wanaofata propaganda, za pande zote mbili, ni vigumu kunielewa. Inatakiwa uwe "free thinker" kikweli kweli kunielewa.
 
Kumbukeni kuwa Blinken leo yupo Israel, mara ya tatu ndani ya wiki tatu.

Why?
 
Na bado watapotea israeli atashinda
Ezekieli 6

Aliye mbali sana atakufa kwa maradhi mabaya. Aliye karibu atauawa kwa upanga. Atakayekuwa amebaki na kunusurika hayo mawili atakufa kwa njaa. Ndivyo nitakavyotimiza ghadhabu yangu dhidi yao. 13Maiti zao zitatapakaa kati ya sanamu zao za miungu na madhabahu zao, juu ya kila mlima, chini ya kila mti mbichi, chini ya kila mwaloni wenye majani na kila mahali walipotolea tambiko zao za harufu nzuri ya kuzipendeza sanamu zao za miungu. Hapo ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu. 14Nitaunyosha mkono wangu dhidi yao, na kuiharibu nchi yao. Tangu huko jangwani kusini mpaka mjini Ribla kaskazini, nitaifanya nchi yao kuwa mahame kabisa wasipate mahali pa kuishi. Hapo ndipo wote watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.”
Mkuu niamini ninachokuambia..
Sio mara ya kwanza israel kuchapika na wapalestina (Wafilisti)
Kwa mysticism /kidini israel alichapika mara baada tu ya kuacha amri na kufanya uovu..
Israel alideclare kuwa ushoga sio dhambi kama unakumbuka...

Na mbona mnashangaa sana Israel sio mara ya kwanza kula kichapo kutoka palestina jamni ...hebu soma hapa chini...nakupa bonus ya 2 wafalme 17:7-9,

Waamuzi 2:14

"Hasira ya Bwana ikawaka juu ya Israeli, naye akawatia katika mikono ya watu waliowateka nyara, akawauza na kuwatia katika mikono ya adui zao pande zote; hata wasiweze tena kusimama mbele ya adui zao...
Kila walikokwenda mkono wa Bwana ulikuwa juu yao kuwatenda mabaya, kama Bwana alivyosema, na kama Bwana alivyowaapia; nao wakafadhaika sana."

1 samweli 4:10, 12

"Wafilisti wakapigana nao, Israeli wakapigwa, wakakimbia kila mtu hemani kwake; wakauawa watu wengi sana; maana katika Israeli walianguka watu thelathini elfu wenye kwenda vitani kwa miguu.......
Basi, mtu mmoja wa Benyamini (
SIO NETANYAU LAKINI) akapiga mbio kutoka mle jeshini akafika Shilo siku ile ile, hali nguo zake zimeraruliwa, na mavumbi kichwani mwake."

kwahyo kipigo kutoka kwa Wafilisti kipo Pale pale Israel wamewahi kuwashinda wafilisti mara mbili tu Kioindi cha waamuzi Kupitia Samson na kipindi cha Wafalme kupitia Daud bhasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom