Yaani raha zote nazompa Yummy aniache? Chezeya? cacico na BADILI TABIA hebu mkam zis wei kuna mtu anataka kuuvunja utatu wenuJamani nafsi yangu imemdondokea Yummy mke wa mtu! Karibu njoo kipande yangu achana na huyo babu Asprin!
Nshazoea biriani lake bana. Tafuta mwingine nikusaidie kutongoza.Babu sema nikurudishie mahari yako!
unapenda vya kuchinja tu, vya kunyonga mmhhhh! mtajijua lakini we na huyu babu!Jamani kweli nisaidieni kifaa kama hiki kikawe na babu!
Nshazoea biriani lake bana. Tafuta mwingine nikusaidie kutongoza.
Ntake radhi, hawa si wajukuu. Nna wake watatu, cacico, Yummy na BADILI TABIA chini ya usimamizi wa Kongosho. Ngoja wakija hapa watakuthibitishia.Kheeeee!hongera babu kwa kuongeza jukuziii nyingine!
nipo mke mdogo, nimekuja kuthibitisha hapa! Cantalisia umesikia?? na huyo Yummy akichukuliwa sasa 4some itakuwaje jamani jamani?Ntake radhi, hawa si wajukuu. Nna wake watatu, cacico, Yummy na BADILI TABIA chini ya usimamizi wa Kongosho. Ngoja wakija hapa watakuthibitishia.
Ntake radhi, hawa si wajukuu. Nna wake watatu, cacico, Yummy na BADILI TABIA chini ya usimamizi wa Kongosho. Ngoja wakija hapa watakuthibitishia.
Yummy kama babu angekuwa na mapenzi ya kweli na wewe asingemwongeza bibi Casico.nipo mke mdogo, nimekuja kuthibitisha hapa! Cantalisia umesikia?? na huyo Yummy akichukuliwa sasa 4some itakuwaje jamani jamani?
Jamani nafsi yangu imemdondokea Yummy mke wa mtu! Karibu njoo kipande yangu achana na huyo babu Asprin!