Mbona kesi hii inaendelea kupigwa tarehe tu kila siku bila kikomo?
Mbona Mahakama haitaki kuipeleka kesi hii panapohusika haswa, yaani Mahakama Kuu?
Kwanini Mahakama Kuu inakuwa na kigugumizi na kushindwa kutoa uamuzi mara moja hadi mtuhumiwa mwenyewe anaomba kesi iende mbele kwenye Mahakama kuu?
Je, kuna mpago wa kumweka Lissu kizuizini hadi baada ya uchaguzi mkuu October mwaka huu?
Nachelea kusema pengine kesi hii ni kati ya Lissu na Samia kupitia Polisi na majaji wa Mahakama ya Tanzania.