Yule mama wa udongo alipotelea wapi wakuu?

FirstClass

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,094
1,358
Namba za mawakala hazipatikani, meseji hazijibiwi, au ndio alikusanya mikwanja akasepa na kijiji.

Tupeane ushuhuda wakuu, kama kuna yeyote aliyetumia udongo na ukamsaidia alete ushuhuda hapa, au kama mama mwenyewe yupo basi jitokeze.
 
Duniani kuna mambo eti mama wa UDONGO..............Kuwa makini sana unapotokewa na mambo haya mawili maishani mwako
1. unapokuwa na matatizo, Huzuni, Fadhaa, kudhalilishwa kupita kiasi, Maradhi
2. unapokuwa na Furaha, Pesa na Mali nyinggi, Cheo kikubwa chenye kutoa maamuzi

SHIDA NA RAHA NI MTIHANI KWENU...........
 
Back
Top Bottom