Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,103
- 128,723
Wanabodi
Zamani JF ndio ilikuwa ya kwanza kwa ma Breaking News, lakini sasa...!
Yule member wetu, Jasusi, Aliyetoa Breaking News ile siku ya Tarehe 12 March mwaka ule, Taifa tukatangaziwa Tarehe 17 March, Leo ametoa Breaking News nyingine Kule kwenye youtube channel yake ya Jasusi TV, sijui hii Breaking News ya leo, kama tutakuja kutangaziwa rasmi?, ila Breaking News yake ya Machi 12, taifa tulitangaziwa rasmi tarehe 17 March, hivyo niliuliza Thread 'Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?' Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?
Na Kusema Ukweli nilishauri aitwe shujaa, Thread 'Silent Hero Huyu ni Mzalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Ndie Aliyefanya Katiba Ifuatwe Mama Akawa!. Apewe Maua Yake!... Stahiki ni kuwa DGIS in Future!' Silent Hero Huyu ni Mzalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Ndie Aliyefanya Katiba Ifuatwe Mama Akawa!. Apewe Maua Yake!... Stahiki ni kuwa DGIS in Future!
Ili kujiepusha JF kuwa kijiwe cha umbeya, ili uijue hiyo Breaking News yake ya leo, itakubidi umtembelee Jasusi kwenye youtube yake!.
Na mwisho namuuliza member mwenzetu Mkuu Jasusi mbona siku hizi huleti ma Breaking News huku jf kama zamani?.
Paskali