Yule ambae humtaki ndio mumeo

Hii thread mmenichanganya sana.

Nasubiri hitimisho hapa ili nijue, je mtaolewa na wanaowapenda au mnaowapenda nyie. Maana mpaka hapa mzani umebalance.
Haha wewe tulia bwana tutakaa kikao tuje na jibu moja
 
Utaolewa unayempenda wewe ila deep kwake hakufeel kabisa napia utakuwa unajitesa asilimia kubwa mtu anayekufungulia moyo ndio mtu trust me

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni somo gumu sana kueleweka ila ndio kitu sahihi na cha ukweli. Wadada kuweni serious na sie wenye mapenzi ya dhati! Pesa zinatafutwa tu. Mwanaume anaekupenda atajitoa kwa hali na mali kuhakikisha hakupotezi na anafanikisha malengo ya kimaisha na wewe. Uzuri mnaweza kujifunza kumepnda mtu taratibu kwa namna mnavyokuwa karibu nae mda mwingi!
 

Yani unamaanisha alikukataa kisa alikuwa na mtu mwingine?. Me nafikiri alikuwa sawa tu kukukatalia as alikuwa anayaheshimu mahusiano yake. Tatizo mtu ukiwa huna hela, basi unakuwa insecure; ukitongoza unataka tu ukubaliwe otherwise unahisi umekataliwa kisa huna chapaa. Huwezi kukubaliwa na kila mtu jamani

Mdada alikuwa faithful; unfortunately moyo wa mtu ni kiza kinene; hakujua mwenzie anamuwazia nini. Inawezekana angemzingua huyo jamaa afu akakukubalia wewe; na still usimuoe ukaishia kumfanya single mom au mkaachana tu

Afu what exactly do you guys want? Tukisema tukomae kuwa loyal na nyie; tukatae wa pembeni; tukiachika baadaye mnatusonya. Utajisikiaje uwe na baby afu akuache tu akaolewe na mwingine? Eeeh utakavyo laani sasa na kumuombea mabaya. The girl did the right thing at that time and possibly kwa muda huo mahusiano yalikuwa ana afya kabisa.Ni vile tu hatujuagi kesho zetu zitakuwaje na pia waoaji hawana alama; otherwise tusingepotezaga muda kwa watu wasio na future na sisi
 
mapenzi...mapenzi...tatizo la kuishi na usiyempenda haliko kwenye mwili bali ni moyo unakuwa sumbufu....ingewezekana kuishi pasi kupenda ningekuwa wa kwanza kuishi but i've tried doing every way without getting +ve results
 
Haaahaaa...unafiki hauwezi kuisha duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo napowakubali akina Hawa! Ye akipenda anakuwa haangalii mbele kama kuna obstacles gani ama consequences gani atapata. Mwache aendelee kuganda asipohitajika akila mtoso ndio akili itamkaa vizuri!
 
Shida ni kwamba utajuaje kama huyo anayedai anakupenda yupo real na wewe? Nimesikia eti Upendo wa maskini hauaminikagi 100% teh teh. Mtu anaweza akawa anakomaa na wewe as choices zake anazozitaka zinamkataa kisa hana hela; you are what is available kwa muda huo. Siku akipata hela ndo anaanza wewe sio wa hadhi yangu blah blah. So wadada hawataki hizo shida za kupanda na wewe juani; muda wa kula kivulini unaenda kula na wa hadhi zako.

Afu kuwa maskini doesn't make you a perfect partner, sio kila mtu anaweza kukuchukulia weakness zako; so mtu akikukataa shukuru tu.
 
Hahaha mzee baba huyo kisampido alikufanyeje...hebu funguka!
 
Hahaha sasa ubaya huko kivulini unapotaka kuanza kulia bila kujua mtu kahuslte vipi lazma kuambatane na manyanyaso! Mbaya zaidi ni kutafunwa na kutemwa kama Big G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…