Yule aliyesema wapinzani ni sawa na Corona, yupo wapi siku hizi?

Piga WAPO Radio utamkuta MEZA YA BUSARA.
 
Mungu hadhihakiwi, Mungu yupohapa,
Waliodhihaki watapadhihaka,watalia, wenzao ambao siyo corona watapukitika kwa kuwa wamekeji. Watalia watamtafuta wamsihi kukuri ubaya wao, watamkosa, watalia. Aliyemdhihaki Mungu hajawahi kusamehewa, malaika walimpiga, walimpofusha,kwa kiburi mama akalewa kiburi.
 
Kuna mmoja au kikundi chao eti wanataka kugawa barakoa kwa wanachama wao tuu

Jr

Huku tulipo wameshachukua majina, nambari za kadi za wanachama na kitambulisho cha Nida ila hawakusema wanataka kufanya nini, na ndoo za kugawia wameanza kutoa. Ila hawa jamaa Mungu anawaona, wamezindua kiwanda Iringa kwa siku kinatengeneza barakoa 500 huu si ungese?????

Wamepita nyumba kwa nyumba
 
Subirini ulaji tu sasa mana hadi kazi mnaandaliwa mazingira rafiki!
 
Yule atakufa siku sio nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno huumba. Tafakari kabla hujatamka sasa hivi wapinzani wanawapukutisha wanachama wa chama chetu mahiri.. Wawe makini isije kuwa mpaka uchaguzi mwendo ni huu huu

Jr
 
Maneno huumba. Tafakari kabla hujatamka sasa hivi wapinzani wanawapukutisha wanachama wa chama chetu mahiri.. Wawe makini isije kuwa mpaka uchaguzi mwendo ni huu huu

Jr
Na maana halisi ya corona inaonekana..
Otherwise tuzid tuchukua hatua kila mmoja kutegemeana na mazingira yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…