Bottom lineViatu vya Ruge bado vinatafuta mrithi
Akili na maono ya mtu huwa hayarithiwi mkuu ila huwa tunarithi mali na Assets nyinginezoHuyu hana wakumrithi......we hv a long way 2 go
Tupo kwenye kamati na kulijadili hili jambomkubwa mshana hivi polepole hawezi kuchukua nafasi ya Ruge
Lakini mkuu pamoja na yoote ila yeye ndiye alikua sources ya hayo yote hivyo sidhani kama ingekua powa sana kama asingekua mnufaikaji mkubwaRuge alikuwa ni muhuni tu akijificha nyuma ya kivuli cha connections zake serilalini, elimu yake, uzoefu wake, n.k
Ruge alikuwa hataki ushindani, alikuwa anataka awepo peke yake ili anyenyekewe.
Ukikosana na ruge alikuwa anafanya hilo bifu atalihusisha mpaka kwenye kukuua kimuziki.
Nandy alikuwa na kipaji kama wasanii wengi tu lakini kwakuwa alikuwa anampa ruge penzi, Ruge alimfanya awe star.
Tigo wanatoa hata milioni 150 kudhamini fiesta, wasanii wanapewa eld 40!! [emoji23][emoji23]
Ruge alikuwa mbwa mwitu ambae alivaa kinyago cha kondoo.
Kunufaika kwa kuwapa promo wasanii hadi awagonge?? Hapana aisee, Nahisi kina Ruby walimbania ndio maana akawapiga chini.Lakini mkuu pamoja na yoote ila yeye ndiye alikua sources ya hayo yote hivyo sidhani kama ingekua powa sana kama asingekua mnufaikaji mkubwa
Lakini Ruby bila Ruge asingejulikanaKunufaika kwa kuwapa promo wasanii hadi awagonge?? Hapana aisee, Nahisi kina Ruby walimbania ndio maana akawapiga chini.
Ogopa sana aina hii ya watu mkuu.
Haiingii akilini wadhamini wamechanga mamia ya mamilioni kudhamini fiesta halafu msanii anapewa eld 40, rubbish kabisa
Kwa hio huko kurudisha mazao ndio kumlipa rubby elf 80 kwenye fiesta azunguke tz nzima, huu ni upuuzi. kuna muda ndio tunahitaji kurudisha fadhila kwa waliotusaidia lakini kuna wakati unaona kabisa unadharauliwa kama nguruwe.Lakini Ruby bila Ruge asingejulikana
Ruge mwenyewe aliwahi kusema
Nyimbo zote zilizohiti yeye kushirikiana na Barnaba na Amini ndiyo walimtungia Nyimbo ambazo zikawa hits song
Sasa alitaka wasirudishe mazao waliyoyapanda kupitia yeye, akaona ananyonywa rabish girl
Ni msanii gani fiesta alikuwa analipwa elfu 40 au 80 ndugu huyo Ruby hela aliyokuwa anapaita alikuwa anahonga wanaume tu na kulewa tunamtuhumu mtu KWA vitu ambavyo hakuvifanya kisa hawezi kujitetea nani asiyojua wasanii wa bongo maisha yao hivi unafahmu hao hao unaowatetea ndio wanamkumbukka Ruge kipindi hiki Cha likizo ambacho ndio yalikuwa mavuno yaoKwa hio huko kurudisha mazao ndio kumlipa rubby elf 80 kwenye fiesta azunguke tz nzima, huu ni upuuzi. kuna muda ndio tunahitaji kurudisha fadhila kwa waliotusaidia lakini kuna wakati unaona kabisa unadharauliwa kama nguruwe.
Nampa big up sana rubby kwa kukataa huu ujinga.
Ni kama kumchukua chokoraa huko mtaani umlishe chakula alafu umwambie akulimie shamba heka nzima umpe buku