Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Nov 20, 2020 #121 Gluk said: Jamaa ni mgonjwa wa uvimbe kichwani na ni miaka mingi yuko kitandani Kwao mabibo. Click to expand... Dah.
Gluk said: Jamaa ni mgonjwa wa uvimbe kichwani na ni miaka mingi yuko kitandani Kwao mabibo. Click to expand... Dah.
LuisMkinga JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 3,338 Reaction score 6,427 Nov 20, 2020 #122 Elungata said: Hajaponaga tu?,,i see uchawi wa kisukuma ni mwisho.. Kwani masanja anasemaje au kishamsahau kijana wa watu? Click to expand... Masanja sio Msukuma
Elungata said: Hajaponaga tu?,,i see uchawi wa kisukuma ni mwisho.. Kwani masanja anasemaje au kishamsahau kijana wa watu? Click to expand... Masanja sio Msukuma
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 15,917 Reaction score 15,695 Nov 20, 2020 #123 Torquemada said: Ni ugonjwa gani alikuwa/anaumwa ? Alikuwa handsome Click to expand... Kama wewe mkuu
Torquemada said: Ni ugonjwa gani alikuwa/anaumwa ? Alikuwa handsome Click to expand... Kama wewe mkuu
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,024 Reaction score 35,188 Nov 20, 2020 #124 Nasubiri nione comment nyingi ni zipi kati ya amefariki au anaumwa ili nijichagulie jibu tu Ila kama anaumwa Masanja si ni Mchungaji kwanini asimwombee apone?
Nasubiri nione comment nyingi ni zipi kati ya amefariki au anaumwa ili nijichagulie jibu tu Ila kama anaumwa Masanja si ni Mchungaji kwanini asimwombee apone?
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 10,364 Reaction score 23,490 Nov 20, 2020 #125 Farolito said: Nasubiri nione comment nyingi ni zipi kati ya amefariki au anaumwa ili nijichagulie jibu tu Ila kama anaumwa Masanja si ni Mchungaji kwanini asimwombee apone? Click to expand... Masanja na Gwajima ni pipa na mfuniko hakuna Mungu hapo ni mapepo sugu
Farolito said: Nasubiri nione comment nyingi ni zipi kati ya amefariki au anaumwa ili nijichagulie jibu tu Ila kama anaumwa Masanja si ni Mchungaji kwanini asimwombee apone? Click to expand... Masanja na Gwajima ni pipa na mfuniko hakuna Mungu hapo ni mapepo sugu
Kashaulo JF-Expert Member Joined Jun 14, 2019 Posts 2,940 Reaction score 4,958 Nov 20, 2020 #126 Elungata said: Hajaponaga tu?,,i see uchawi wa kisukuma ni mwisho.. Kwani masanja anasemaje au kishamsahau kijana wa watu? Click to expand... Masanja sio msukuma, wala hakuna msukuma kwenye kundi lile!
Elungata said: Hajaponaga tu?,,i see uchawi wa kisukuma ni mwisho.. Kwani masanja anasemaje au kishamsahau kijana wa watu? Click to expand... Masanja sio msukuma, wala hakuna msukuma kwenye kundi lile!
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,111 Reaction score 69,569 Nov 20, 2020 #128 Kashaulo said: Masanja sio msukuma, wala hakuna msukuma kwenye kundi lile! Click to expand... Masanja Ni Ujanjaujanja Tu
Kashaulo said: Masanja sio msukuma, wala hakuna msukuma kwenye kundi lile! Click to expand... Masanja Ni Ujanjaujanja Tu
Kashaulo JF-Expert Member Joined Jun 14, 2019 Posts 2,940 Reaction score 4,958 Nov 20, 2020 #129 bullar said: masanja na gwajima ni pipa na mfuniko hakuna Mungu hapo ni mapepo sugu Click to expand... Masanja ni Gwajima asiye na shule!
bullar said: masanja na gwajima ni pipa na mfuniko hakuna Mungu hapo ni mapepo sugu Click to expand... Masanja ni Gwajima asiye na shule!
Kashaulo JF-Expert Member Joined Jun 14, 2019 Posts 2,940 Reaction score 4,958 Nov 20, 2020 #130 Kennedy said: Masanja Ni Ujanjaujanja Tu Click to expand... Masanja ni Mgaya wa Mbarali ndani ndani huko!
Kennedy said: Masanja Ni Ujanjaujanja Tu Click to expand... Masanja ni Mgaya wa Mbarali ndani ndani huko!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Nov 20, 2020 #131 Kashaulo said: Masanja ni Gwajima asiye na shule! Click to expand... Unamaanisha kuna Gwajima aliye na shule?
Kashaulo said: Masanja ni Gwajima asiye na shule! Click to expand... Unamaanisha kuna Gwajima aliye na shule?
Kashaulo JF-Expert Member Joined Jun 14, 2019 Posts 2,940 Reaction score 4,958 Nov 20, 2020 #132 Katavi said: Unamaanisha kuna Gwajima aliye na shule? Click to expand... Yule mcheza muvi si anajiita Dr, angalau thiolojia elimu ya Dini ya hapa na pale!
Katavi said: Unamaanisha kuna Gwajima aliye na shule? Click to expand... Yule mcheza muvi si anajiita Dr, angalau thiolojia elimu ya Dini ya hapa na pale!
Kashaulo JF-Expert Member Joined Jun 14, 2019 Posts 2,940 Reaction score 4,958 Nov 20, 2020 #133 Farolito said: Nasubiri nione comment nyingi ni zipi kati ya amefariki au anaumwa ili nijichagulie jibu tu Ila kama anaumwa Masanja si ni Mchungaji kwanini asimwombee apone? Click to expand... Kuponya mchezo! Ni lini uliona maombezi yakifanyika hospitali?
Farolito said: Nasubiri nione comment nyingi ni zipi kati ya amefariki au anaumwa ili nijichagulie jibu tu Ila kama anaumwa Masanja si ni Mchungaji kwanini asimwombee apone? Click to expand... Kuponya mchezo! Ni lini uliona maombezi yakifanyika hospitali?
Basima Ogenze JF-Expert Member Joined Aug 14, 2015 Posts 786 Reaction score 885 Nov 20, 2020 #134 Bushmamy said: Wenzie wote walishaoa ila yeye hadi sasa bado hajaoa sio? Click to expand... Sasa kuumwa na kuoa wapi na wapi. Au unadhani kuoa ni kitu muhimu sana, waulize waliooa watakupa mrejesho
Bushmamy said: Wenzie wote walishaoa ila yeye hadi sasa bado hajaoa sio? Click to expand... Sasa kuumwa na kuoa wapi na wapi. Au unadhani kuoa ni kitu muhimu sana, waulize waliooa watakupa mrejesho
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,111 Reaction score 69,569 Nov 20, 2020 #135 Kashaulo said: Masanja ni Mgaya wa Mbarali ndani ndani huko! Click to expand... Ubaruku Huko Lujewa!!
Kashaulo said: Masanja ni Mgaya wa Mbarali ndani ndani huko! Click to expand... Ubaruku Huko Lujewa!!
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,024 Reaction score 35,188 Nov 20, 2020 #136 bullar said: masanja na gwajima ni pipa na mfuniko hakuna Mungu hapo ni mapepo sugu Click to expand...
bullar said: masanja na gwajima ni pipa na mfuniko hakuna Mungu hapo ni mapepo sugu Click to expand...
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,070 Reaction score 23,676 Nov 20, 2020 #137 Elungata said: Hajaponaga tu?,,i see uchawi wa kisukuma ni mwisho.. Kwani masanja anasemaje au kishamsahau kijana wa watu? Click to expand... Mzee unazingua aliyekwambia Masanja ni msukuma nani? Hilo ni jina la uigizaji tu
Elungata said: Hajaponaga tu?,,i see uchawi wa kisukuma ni mwisho.. Kwani masanja anasemaje au kishamsahau kijana wa watu? Click to expand... Mzee unazingua aliyekwambia Masanja ni msukuma nani? Hilo ni jina la uigizaji tu
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,024 Reaction score 35,188 Nov 20, 2020 #138 Kashaulo said: Kuponya mchezo! Ni lini uliona maombezi yakifanyika hospitali? Click to expand... Na ndipo usanii ulipo
Kashaulo said: Kuponya mchezo! Ni lini uliona maombezi yakifanyika hospitali? Click to expand... Na ndipo usanii ulipo
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,111 Reaction score 69,569 Nov 20, 2020 #139 Farolito said: Na ndipo usanii ulipo Click to expand... Mwamposa Yupo Dodoma Asije Kufanya Ya Moshi Kukanyaga Mafuta, Watu Mpaka Wakateleza 😁😂
Farolito said: Na ndipo usanii ulipo Click to expand... Mwamposa Yupo Dodoma Asije Kufanya Ya Moshi Kukanyaga Mafuta, Watu Mpaka Wakateleza 😁😂
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,257 Reaction score 13,265 Nov 20, 2020 #140 Gluk said: Jamaa ni mgonjwa wa uvimbe kichwani na ni miaka mingi yuko kitandani Kwao mabibo. Click to expand... Ina maana hao kina Joti wameshindwa kumchangia mwenza akatibiwe nje?
Gluk said: Jamaa ni mgonjwa wa uvimbe kichwani na ni miaka mingi yuko kitandani Kwao mabibo. Click to expand... Ina maana hao kina Joti wameshindwa kumchangia mwenza akatibiwe nje?