Salute. Kuna wakati huwa najiuliza sana juu ya huyu jamaa, aliwahi kuwa marufu sana hadi mwishoni mwa miaka ya 2011 kama sijakosea. Ni muda sasa sijawahi kusikia anaendeleaje. Sijui nani anataarifa zake jamani. Mashabiki tunataka kujua. Sent using Jamii Forums mobile app