Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 422
- 1,156
Wewe kwa unavyo muona Mbowe pamoja na miaka yote aikalie Chadema bado anapaswa kuwa Mkuu wa Makamanda?Una wazimu wewe! Unawezaje kumuita Mbowe ni tapeli?
Wewe kwa unavyo muona Mbowe pamoja na miaka yote aikalie Chadema bado anapaswa kuwa Mkuu wa Makamanda?Una wazimu wewe! Unawezaje kumuita Mbowe ni tapeli?
2025 wapinzani hawatasimasha mgombea kiti cha urais,Mwamba yupo anajifua na kuweka nondo zake Sawa ili akianza noma akinukishe kweli kweli
Uchaguzi ujao Mbowe na utapeli wake akae pembeni amuache Kamanda aipatie nchi kinacho staili
Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki
Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu, yuko wapi?
Binafsi kama mwananchi na kama mfuasi wake ni haki yangu jua alipo maana na ni siku zimepita kidogo simsikii wapi alipo?
Lissu popote ulipo naomba jitokeze ulipo hata kwa Salam tu .
Nawakilisha wakuu
Maandiko yanaposema atendaye dhambi ni wa ibilisi unadhani yamekosea?Tusemapo "Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwe..." jee tunakufuru?
Maana kumwita hivyo tayari tumemaanisha sisi ni wana wa Mungu tayari!
Wakati mwingine punguzeni chuki zenu kwa Lissu.
Lissu ni mwana wa Mungu kama mimi na wengine tunaomwabudu Mungu, wewe kama sio basi ni wewe!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Unamanisha nini? Lissu ametenda dhambi gani nchi hii , kama si yeye kutendewa dhambi na mwenda zakeAtendaye dhambi ni wa shetani. Kwani wewe huyajui hayo maandiko?
Haikusu, kaa mbali we chawa mzoefuPole ndugu ,narudia tena ,nyumbu Lema na Mdude ni wasemaji wakubwa wa CDM kuliko Mheshimiwa Lissu
Nyie chawa ipo siku tutawashangaza sana, mnajua uchungu wa mzazi alie beba mimba mwezi tisa na kumlea mtoto fika level ya Ben ? Hujuhi uchungu wewe kaa kimya ,Rais kwa kua ni mama anajua hili , acheni ujinga wakichawa sasa nitaanzisha kampein ya Ben sio mda ,tuna mtakaChacha Wange Je?
Umenuona wapi Mungu akizaa,HAKUZAA WALA HAKUZALIWA,YEYE NI MUUMBA AMEUMBA VYA DUNIANI NA NJE YA DUNIA YEYE NDIO MWENYE MAMLAKA "KUWA NA INAKUWA"Kwani wewe ni mwana wa nani shetani?, sisi sote ni wana waMungu
Kiapo kipi , mwafikiri kila mwenye kiapo anapenda yale ccm anafanya ? Mda ni mwalim mzuriMbowe hawezi kusaliti kiapo
PumbavuWewe kwa unavyo muona Mbowe pamoja na miaka yote aikalie Chadema bado anapaswa kuwa Mkuu wa Makamanda?
Mkuu pindi Magufuli alipo kuwa ana uwa wewe ulikuwepo,au na wewe ni mmoja ya watu walio uliwa?Ukisikia kuwa Samia ni mwanasiasa aliyewiva basi indicators zake ni kama hizi. Leo Lissu anatafutwa kwa vile hasikiki.
Hasikiki kwa vile Samia ameruhusu kika kitu vyama vya upinzani vifanye. Karuhusu shughuli za vyama vya siasa, karuhusu maandamano. Wamefanya maandamano Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar es Salaam, matokeo ya maandamano yao wanayajuwa wenyewe.
Laiti Samia angewakatalia kufanya maandamano basi sasa hivi ungesikia kila siku kwenye social media wakidai maandamano.
Hapo ndipo unatambua kuwa Urais wa Tanzania hauhitaji mabavu na kuua wapinzani kama alivyokuwa anafanya Magufuli bali unahitaji akili na busara tu
Wewe nae ni mpumbavu usiejua kuchanganua mambo, kwa hiyo wewe unataka kila siku Lissu awe mtaani au kwenye vyombo vya habari Just kuwafurahisheni nyie wapumbavu? Sa100 mbona ni rais ila ndani ya siku hizi mbili hasikiki? Sio kila time unakuwa kwa media kenge weweUkisikia kuwa Samia ni mwanasiasa aliyewiva basi indicators zake ni kama hizi. Leo Lissu anatafutwa kwa vile hasikiki.
Hasikiki kwa vile Samia ameruhusu kika kitu vyama vya upinzani vifanye. Karuhusu shughuli za vyama vya siasa, karuhusu maandamano. Wamefanya maandamano Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar es Salaam, matokeo ya maandamano yao wanayajuwa wenyewe.
Laiti Samia angewakatalia kufanya maandamano basi sasa hivi ungesikia kila siku kwenye social media wakidai maandamano.
Hapo ndipo unatambua kuwa Urais wa Tanzania hauhitaji mabavu na kuua wapinzani kama alivyokuwa anafanya Magufuli bali unahitaji akili na busara tu
Kwani wewe unazo akili? Ungekuwa na akili ungejubu hojaWasingeiba kura hata za udiwani hebu shirikisha akili basi hata kidogo!!!
Kama Magufuli angeua mama yako au angekujeruhi wewe mwenyewe kama alivyomjeruhi Lissu, usingepata muda wa kuandika huo UPUMBAVUMkuu pindi Magufuli alipo kuwa ana uwa wewe ulikuwepo,au na wewe ni mmoja ya watu walio uliwa?
Ndiyo maisha waliyochagua, ku-trend kwenye vyombo vya habari.Wewe nae ni mpumbavu usiejua kuchanganua mambo, kwa hiyo wewe unataka kila siku Lissu awe mtaani au kwenye vyombo vya habari Just kuwafurahisheni nyie wapumbavu? Sa100 mbona ni rais ila ndani ya siku hizi mbili hasikiki? Sio kila time unakuwa kwa media kenge wewe
Mipango ya kumsimamisha Lissu kama Rais upo wazi na anachukua nchi asubuhi sana ila tu kama uchaguzi utakuwa huru na haki2025 wapinzani hawatasimasha mgombea kiti cha urais,
Watamuunga mkono atakayesimamishwa na chama tawala.
Wapinzani wataelekeza nguvu ubunge na udiwani.