Ukisikia kuwa Samia ni mwanasiasa aliyewiva basi indicators zake ni kama hizi. Leo Lissu anatafutwa kwa vile hasikiki.
Hasikiki kwa vile Samia ameruhusu kila kitu vyama vya upinzani vifanye. Karuhusu shughuli za vyama vya siasa, karuhusu maandamano. Wamefanya maandamano Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar es Salaam, matokeo ya maandamano yao wanayajuwa wenyewe.
Laiti Samia angewakatalia kufanya maandamano basi sasa hivi ungesikia kila siku kwenye social media wakidai maandamano.
Hapo ndipo unatambua kuwa Urais wa Tanzania hauhitaji mabavu na kuua wapinzani kama alivyokuwa anafanya Magufuli bali unahitaji akili na busara tu
Tundu Lissu yuko mahali aki chekiwa afya yake,alitembea kilometa nyingi sana kwenye maandamano. Ni desturi yake akifanya hivyo lazima amuone daktari wake
Tundu Lissu yuko mahali aki chekiwa afya yake,alitembea kilometa nyingi sana kwenye maandamano. Ni desturi yake akifanya hivyo lazima amuone daktari wake