Sitakuumiza Kamwe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 446
- 1,392
Kabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu atakaporudi.
Siku ya maandamano nasikia vijana wazalendo walipita pale nyumbani kwake Bunda kumsalimia na japo hawakumkuta lakini waliacha salamu. Ajabu kuanzia wakati huo hasikiki tena. Je, ni salamu zile zilimtisha au yuko busy akipanga mikakati mipya ya chama baada ya ushindi wa kihistoria wa chama chake?