Itapendeza900
Member
- Nov 30, 2017
- 45
- 31
Mara ya mwisho nasikia alionekana maeneo ya ubalozi wa Trump akitafuta Visa ili ampandie yule dada

Mara ya mwisho nasikia alionekana maeneo ya ubalozi wa Trump akitafuta Visa ili ampandie yule dada

Wakikujibu hili nitagsijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Yatamrudi yeyeYuko bize anamtengeneza mange Kimambi
sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Umeyasahau matusi ya Mzee Nkapa pale Jangwani? Mbona Sizonje alikuwa akiyafurahia? Kunya anye Kuku akinya Bats, kaharisha....sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Mauaji ya kibiti mlikaa kimya piaVp kuhusu mauaji yanayoendelea ccm mmeyatolea tamko?subirini tarehe 26
Yaani unashangaa post ya mwenye akili zilizopooza? Angalia hata waliompa like wanavyofanana naye!!Kumbe Mange yupo ulaya?! Nilikua sijui..!!
Halafu kuna watu wanamdharau Mange kama vile hana akili, Rais wa nchi akitokea kumjibu mtu ujue huyo mtu kajibiwa na serikali yote. Mange yuko sawa au hayuko sawa itabaki kuwa sio mtu wa mchezoMange kiboko Kuanzai IGP CDF Rais wa nchi walikua wanamjibu Mange
Jaribu kwenda pale Kinondoni zilipo ofisi za BAKWATA kama una shida muhimu atakutatuaMbona kimya hivi Sheikh Mkuu wa BAKWATA Dar? Ni kipindi kirefu hatujasikia matamko yake. Kipindi hiki ambacho tumekuwa na sintofahamu kuhusu usalama na amani ya nchi kwa hakika alivyokuwa msemaji sana hangenyamaza bila kutoa kauli.
Imekuwaje?