Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Aisee.... unajidhalilisha kiongozi...sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Ungepiga kimya tu..