Yuko wapi Sheikh Mkuu wa Dar?

Yuko wapi Sheikh Mkuu wa Dar?

sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;

Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.

Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
alivyokuwa anawatusi kina lowasa kipindi cha kampeni 2015 mlimkemea?
una stroke ya ubongo wewe sio bure
 
sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;

Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.

Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Wewee jamaa hata kabla sijasoma urojo wako huwa lazima nisikie kichefuchefu si bure unayoyaandikaga hapa na akili zako ni sawasawa kabisa
 
Msaidizi wa karibu wa RC Makonda.....njaa ilimponza!
ngoma ivumayo haikawii kupasuka alijiona yeye ni bora sana mbele ya sirikali kupitia Bashite
 
sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;

Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.

Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Nnahisi wanajitahidi wasije pewa case ya uchochezi na kufanya siasa wakati washakatazwa wameambiwa siasa mpaka 2020
 
sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;

Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.

Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??

Mange hawajahi amka asubuhi akaanza kutoa matusi hovyo hovyo. Mange sio kichaa anaongelea fact kabisa pale mnapompeleka kwenye ukichaa ndio anatoa matusi tena sio madogo wakati yeye anaongelea fact
 
mangez minion
 
Binafsi namkubali sana huyu ustaadh. Busara imetulia pale. Dini iko mle. Utanashati yaani we acha tu
 
Wewee jamaa hata kabla sijasoma urojo wako huwa lazima nisikie kichefuchefu si bure unayoyaandikaga hapa na akili zako ni sawasawa kabisa
Tangu lini mzushi akawa na akili ya kuelewa lolote??
 
Aliingia cha kike; tuko mlangoni tunamsubiri atoke
 
msimuonee sheikh wetu mbona pengo hatujawahi kumsikia anakemea matukio yanayotokea.
 
Back
Top Bottom