lakini si aliahidi kuiloga Jf , uchawi umedunda ?Labda Mange Kimambi kamfanya apige kimya....
Wewe jamaa umezaliwa leo?sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Kama ni ya ndoa aende na mkewe kabisaJaribu kwenda pale Kinondoni zilipo ofisi za BAKWATA kama una shida muhimu atakutatua
Shikamoo MangeKimambi a.k.a jiwe kuu la pembeniMbona kimya hivi Sheikh Mkuu wa BAKWATA Dar? Ni kipindi kirefu hatujasikia matamko yake. Kipindi hiki ambacho tumekuwa na sintofahamu kuhusu usalama na amani ya nchi kwa hakika alivyokuwa msemaji sana hangenyamaza bila kutoa kauli.
Imekuwaje?
nawaonaga paleKimara mwisho msikiti umebomolewa waumini wana sali kwenye tenty. Shekh mkuu kimya
Alitengenezwa 2015 lakini hakukatazwa.kinyago hicho aliyekichonga 2015 mbaya sana.sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Hiyo kwako ndio umeona hoja au? Matusi!! Kwani matusi ndio yanayosababisha kubinywa kwa demokrasia, au ndio yanasababisha maisha kuwa magumu, dawa kukosa hospital, watu kutekwa, wengine kuuliwa na kupigwa risasi? Mbona una akili finyu sana, mbona hushangai hao viongozi wa serikali yako hawakemei haya mambo? Au kwakuwa yanafanywa na kiongozi wa malaika? Eti matusi, Dada mkuu wetu hawzi kutukana, na kama katukana ujue amefika kwenye critical point. Mbona hata Masauni alitukana watu, kuwa wanaruka ukuta au hamkusikia hayo? Mkuu wa malaika mbona anatukana tena huku anatishia hauoni.sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Wewe nawee! Sheikh unamlinganisha na Mange?sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Umesahau wakati wa uchaguzi alivyokuwa anatukana? Kweli wahenga hawakukosea mkuki kwa nguruwe...........sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Kipindi 2015 alivyokuwa anawatukana hao wapinzani, viongozi (serikali) ilichukua hatua gani? Tena kipindi hicho alikuwepo hapa hapa nchinisijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Kama uoni faida muulize shekhe kilicho mziba mdomo kutoa matamko ni ninii ?sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Khaaa, eti viongozi wa upinzani watoe tamko, kwani ugomvi wa Mange na Shehe ulihusu vyama gani vya siasa? Na kwani Magufuli au kicheche Polepole au Naibu Rais Makonda uliwasikia wakikemea?sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??