Umewahi kushuhudia kipisi cha sigara kinavyounguza lori la petrol la lita 30,000!Mbona kimya hivi sheikh mkuu wa Bakwata Dar? Ni kipindi kirefu hatujasikia matamko yake.
Kipindi hiki ambacho tumekuwa na sintofahamu kuhusu usalama na amani ya nchi kwa hakika alivyokuwa msemaji sana hangenyamaza bila kutoa kauli.
Imekuwaje?
Yani viongozi wa upinzani waite press kukemea matusi ya Mange????sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Mwache bwana inatosha aliyokutana nayoMkuu, mie napenda sana matamko yake
![]()
![]()
![]()
Mimi sijawahi kuona kiongozi wa CCM asiyetowa au kushangiria matusi yanapotolewa! Eg. Mafala, wapumbavu, vinyago, kamuoneshe mkeo etcsijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Mbona sijasikia kiongozi wwte wa ccm akikemea wizi wa kura bara na visiwan, kwan ccm inategemea police na NEC kwenye wizi(kubeba na kuridisha sanduku) wa kura ili iendelee kubaki madarakani kibabe?sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Labda Mange Kimambi kamfanya apige kimya....Mbona kimya hivi Sheikh Mkuu wa BAKWATA Dar? Ni kipindi kirefu hatujasikia matamko yake. Kipindi hiki ambacho tumekuwa na sintofahamu kuhusu usalama na amani ya nchi kwa hakika alivyokuwa msemaji sana hangenyamaza bila kutoa kauli.
Imekuwaje?