PAPA OBAMA JF-Expert Member Joined Dec 27, 2013 Posts 204 Reaction score 87 May 13, 2014 #1 kwa anayejua huyu dada yuko wapi aliwahi iletea sifa sana nchi yetu upande wa riadha lakini siku hizi hasikiki tena anayefahamu tafadhari
kwa anayejua huyu dada yuko wapi aliwahi iletea sifa sana nchi yetu upande wa riadha lakini siku hizi hasikiki tena anayefahamu tafadhari
D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 314 May 14, 2014 #2 nadhani kashaolewa kaachana na riadha aisee
shifta JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 474 Reaction score 192 May 14, 2014 #3 Mara ya mwisho nilimuona mtoni kwa Mpili anauza kashata na ufuta kwa wanafunzi wa chekechea
N nassoromagati New Member Joined Dec 13, 2013 Posts 1 Reaction score 0 May 14, 2014 #4 Yupo Arusha bado anakimbia.
G gen parton JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 642 Reaction score 412 May 14, 2014 #5 nassoromagati said: Yupo Arusha bado anakimbia. Click to expand... kuanzia mwezi march nasikia alienda china kwa mashindano flani japo sina hakika sana coz siku arusha haonekani na RAV4 yake nyekundu....
nassoromagati said: Yupo Arusha bado anakimbia. Click to expand... kuanzia mwezi march nasikia alienda china kwa mashindano flani japo sina hakika sana coz siku arusha haonekani na RAV4 yake nyekundu....