Imani unaweza kuamini hata uongo.Mimi naamini ipo. Nawaona kwa Imani wewe ambae unasema hawapo unatakiwa pia uje na sababu zako ili tujue pengine Imani yetu sio sahihi.
subiri post ya mwisho utaelewa everythingNimebaki kushangaa mpaka sasa watu wanaamini habari za mizimu. Swali la kujiuliza mbona siku hizi hatokei kila baada ya hiyo miaka 5? Mmejuaje kujaa kwa maji ni madhara ya kutomtambua miaka ya sasa? Alitoa ujumbe yeye mwenyewe binafsi kwa wazee kwa njia gani itakayoifanya dunia iamini?Je amefariki huko aliko au mzimu hauna sifa ya kufa?!
Still need to learn something here
Nilikua nasikiliza makala you tube ya mzee Mohamed said akimuelezea SHEHE mmoja wa bagamoyo rafiki wa mwalimu Nyerere.Nimebaki kushangaa mpaka sasa watu wanaamini habari za mizimu. Swali la kujiuliza mbona siku hizi hatokei kila baada ya hiyo miaka 5? Mmejuaje kujaa kwa maji ni madhara ya kutomtambua miaka ya sasa? Alitoa ujumbe yeye mwenyewe binafsi kwa wazee kwa njia gani itakayoifanya dunia iamini?Je amefariki huko aliko au mzimu hauna sifa ya kufa?!
Still need to learn something here
Sasa toka lini Mambo ya Imani yakathibitishwa mkuu? Unachanganya madesa. Imani ni Imani na sayansi ni sayansi. Huwezi thibitisha Mambo ya imaniImani unaweza kuamini hata uongo.
Unaruhusiwa kuamini hata uongo.
Ni haki yako ya kikatiba na kiutu kuamini unavyotaka, hata uongo.
Mimi siongelei imani, naongelea ukweli.
Thibitisha kuwa wapo, habari ya "nawaona kwa imani" si uthibitisho.
Hata mimi naweza kusema nina hela kuliko Elon Musk kwa imani.
Lakini hilo halimaanishi nina hela kuliko Elon Musk kweli.
Haya maneno mengi yanakuwa ni aina fulani ya jamii kujiwekea sheria zake tu.Nilikua nasikiliza makala you tube ya mzee Mohamed said akimuelezea SHEHE mmoja wa bagamoyo rafiki wa mwalimu Nyerere.
Bagamoyo kulikua na wataalam wa science asili asikwambie mtu Nyerere mwenyewe alipata kutambikwa na wazee wa bagamoyo.
NB. LISEMWALO LIPO..KAMA HALIPO LAJA.
Sasa kama unaweza kuamini ukweli au uongo na mambo ya imani hayathibitiki utajuaje unachoamini ni ukweli au uongo?Sasa toka lini Mambo ya Imani yakathibitishwa mkuu? Unachanganya madesa. Imani ni Imani na sayansi ni sayansi. Huwezi thibitisha Mambo ya imani
ππ Asante kwa simulizi nzurii na ya kujenga..kwa wiki hii nzima nimekua nafuatilia vipindi vya mzee MOHAMED SAIDIHaya maneno mengi yanakuwa ni aina fulani ya jamii kujiwekea sheria zake tu.
Kuna rafiki yangu mmoja kijana smart sana alikuwa anafanya kazi Wizara ya Mambo ya Nje wakati Kikwete anaanza kazi pale.
Jamaa alikuwa very smart, anaongea lugha nyingi, kasoma, anajua diplomasia za kinataifa, dogo tu. Basi Kikwete akapewa yule kijana awe msaidizi wake.
Kikwete alimoenda sana. Akawa anazunguka naye.
Sasa Kikwete akawa anakwenda Bagamoyo kufanya mkutano na wazee, mambo ya kupalilia kampeni za ubunge.
Wakawa wamekaa chini ya muembe.
Mara embe nzuuri ikaanguka. Yule kijana akataka kuiwahi kuiokota.
Mtu wa karibu yake akamwambia usiokote, unajua kimenaguka nini hapo? Hiyo si embe, hicho no kibomu cha asiki kimeangushawa, usiokote.
Wakaja wazee wakaiokota ike embe.
Sasa pale kama mtu unaamini uchawi unaweza kusema kuna majini au vitu kama hivyo.
Wakati kumbe inawezekana wazee wana sheria zao tu kwamba vijana hawatakiwi kuokota embe ikianguka vike inakuwa haki ya wazee, vijana wataokita zao wakiwa wazee nao πππ
Unavyozungumzia ramli na uwezo wa watu fulani kuona au kujua mambo ya kesho, hiyo ni sehemu ya maarifa ya jadi yaliyopo katika tamaduni nyingi duniani. Wengine wanayaamini kwa nguvu, wengine wanabaki na mtazamo wa tahadhari. Lakini bila shaka, kuna mambo mengi katika ulimwengu huu ambayo bado hatujayaelewa kikamilifu.ππ Asante kwa simulizi nzurii na ya kujenga..kwa wiki hii nzima nimekua nafuatilia vipindi vya mzee MOHAMED SAIDI
Mzee huyu na mwana Jf mwenzetu kasimulia kwa kutafiti...unajua MAKABURI YA BAGAMOYO walikua wanampeleka Nyerere kusomewa Dua na waislamu.
Ujue ukanda wa pwani Wana science asili asikwambie mtu Kuna siku alichinjwa kuku kwa kukatwa kichwa gafla na kuachiliwa unajua mlalo atakao katia roho kuku wataalamu wanajua..
Pia brother kiranga Kuna watu wanauwezo wa kuijua kesho ya mtu na kukupigia ramli na wakakueleza Yale mambo yako yotee uliyo yaficha au kuielezea historia yako ya Maisha mwanzo mpaka ulipo.
Hii dunia Ina science asili nyingi Sana na pengine haziwezi kuthibitishwa ama kusibitika Ila MAKABURI,BAHARINI, ANGANI Kuna mambo mengi Sana Sana yasiyo elezeka kwa akili za kawaida za kibinadamu.
Mimi natokea familia civilized Ila Kuna matukio yalitutokea Mimi na mdogo angu..Unavyozungumzia ramli na uwezo wa watu fulani kuona au kujua mambo ya kesho, hiyo ni sehemu ya maarifa ya jadi yaliyopo katika tamaduni nyingi duniani. Wengine wanayaamini kwa nguvu, wengine wanabaki na mtazamo wa tahadhari. Lakini bila shaka, kuna mambo mengi katika ulimwengu huu ambayo bado hatujayaelewa kikamilifu.
Wewe binafsi umewahi kushuhudia au kusikia uzoefu wowote wa moja kwa moja kuhusu haya mambo ya sayansi asili?
Mkuu,ππ Asante kwa simulizi nzurii na ya kujenga..kwa wiki hii nzima nimekua nafuatilia vipindi vya mzee MOHAMED SAIDI
Mzee huyu na mwana Jf mwenzetu kasimulia kwa kutafiti...unajua MAKABURI YA BAGAMOYO walikua wanampeleka Nyerere kusomewa Dua na waislamu.
Ujue ukanda wa pwani Wana science asili asikwambie mtu Kuna siku alichinjwa kuku kwa kukatwa kichwa gafla na kuachiliwa unajua mlalo atakao katia roho kuku wataalamu wanajua..
Pia brother kiranga Kuna watu wanauwezo wa kuijua kesho ya mtu na kukupigia ramli na wakakueleza Yale mambo yako yotee uliyo yaficha au kuielezea historia yako ya Maisha mwanzo mpaka ulipo.
Hii dunia Ina science asili nyingi Sana na pengine haziwezi kuthibitishwa ama kusibitika Ila MAKABURI,BAHARINI, ANGANI Kuna mambo mengi Sana Sana yasiyo elezeka kwa akili za kawaida za kibinadamu.
Leo una good mood..nipo kariakoo muda huu hali ya mvua mvua NB a foleni kwa sanaa....mkuu science asili ipo amini usiamini..Mkuu,
Yale mambo ya kupigiana dua za kidini, kusomeana na kutambikana kimila, yote yale ni saikolojia ya kujipa nguvu za kupambana.
Ndiyo maana Kinjekitile Ngwale aliwaambia watu ana dawa ya kugeuza risasi kuwa maji.
Unafikiri unaweza kumpa motisha Mngoni, Mmakonde, Mndengereko asiye na bunduki aende kupigana na Mjerumani mwenye bunduki bila kumpa hadithi fulani ya kumwambia risasi zitageuka maji? Yule Kinjekitile alikuwa motivational speaker wa muda ule tu.
Hizo habari za kuijua kesho ya mtu, sasa wewe kijiji kina mganga mmoja, watu wote mnaenda pale kumpa siri zenu zote, huyu kafanya hivi, yule kafanya vile, unafikiri huyo mganga atashindwa kuunga stories na kujua huyu anakuwa chizi sasa hivi kutokana na mizozano ya familia? Na akitabiri hivyo kutokana na data anazopata kwa watu tu, mnamuona mganga katabiri yajayo kweli, wakati data mmempa wenyewe πππ
Si ndiyo hiyo sayansi ya saikolojia ya kuwapa watu motisha kwa kuwajaza ujinga, na kuwapa matumaini sehemu ambayo hakuna matumaini kama mwenge wa uhuru.Leo una good mood..nipo kariakoo muda huu hali ya mvua mvua NB a foleni kwa sanaa....mkuu science asili ipo amini usiamini..
NakubaliMimi natokea familia civilized Ila Kuna matukio yalitutokea Mimi na mdogo angu..
Wazazi wetu ikawabidi wapambane kuangalia science asili asikwambie mtu walienda sehemu 3 tofauti tofauti maelezo yakawa Yale Yale.
Picha Lina anza Maza akaokota kapaka kadogo mazingira ya nyumbani akakachukua akakaweka ndani kukafuga....
zikapita siku chache akaenda sehemu mbali kwa mtaalamu wa science asili akamwambia Kuna paka umemuokota umemuweka ndani Kwako ukirudi nenda kamtupe maana sio paka wa kawaida..ni kweli mother aliokota kipaka na kukileta ndani Kama urembo..
Siku moja ikanibidi nisafir kilometer nyingi Sanaaa kwenda nyumbani baba na mama wakanipeleka kwa mtaalamu aniangalie mimi japo niliogopa Ila mama akasema mwanangu umenusurika hiyo ajar ilikua UFE picha Lina anza nifika kwa jamaa akanambia KUNA MTU ANANIDAI NA ANANUNG'UNIKA HUJAMPA PESA YAKE.. akauliza una mtu yeyote unakudai?
Nikafikilia Sana Mimi sinaga kawaida ya kukopa au kuwa na deni... Nikamjibu kua Mimi sidaiwi na sina deni lolote...akasema hawezi kunisaidia chochote mpaka nilipe deni la watu ivyo niondoke pale kwake..
Nikafika home kwenye kufikiri Kuna dogo nilikua safari nikamwomba aninunulie umeme wa 10,000 ntamtumia pesa yake aisee nikampigia dogo nikamwambia nilisahau kumtumia pesa yake na Nika mtumia pale pale.
Kesho nikaenda nikasimulia kua nilikua nadaiwa na nimelipa tayar akasema mbingu zimefunguka....aisee kilipigwa kisomo na Dua pale nikafanyiwa makafara MIMI NIPO HUKU NAOGOPA akachinjwa mnyama pale..pale tulienda kuwekewa Kinga watu wabaya wasikupate na kunyanyua mvuto.
Wazazi wakasema nifanyiwe TU japo sisi hatuamini na wazazi Hawa amini Ila Kuna watu Wana science asili asikwambie mtu mambo yakakaa sawa tangu WAKATI ulee.
Naingia barabarani now ngoja niishie hapa..