Makosa
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 1,183
- 2,624
Ni mmoja ya watu waliokuwa wananivutia kama sio kunishawishi kulinunua gazeti la Raia Mwema kutokana na uandishi wa makala zake zenye mguso wa kijamii lakini ni kipindi kirefu sana sijapata kuona makala zake.
Sijui yuko wapi?
Mtujuze huyu mzee yuko wapi? maana nimepunguza hata speed ya kununua gazeti.
cc mwanga lutila
Sijui yuko wapi?
Mtujuze huyu mzee yuko wapi? maana nimepunguza hata speed ya kununua gazeti.
cc mwanga lutila
Last edited by a moderator: